Recent content by Muuza Unga

  1. Muuza Unga

    Msaada kwa mwenye keys za program iitwayo NITRO PRO

    https://freeproductkeys.org/nitro-pro-11-crack-plus-serial-key/ Utaona keys chini kule , jaribu
  2. Muuza Unga

    Polisi Arusha wafanya unyama wa Kutisha

    Kama nakuelewa vile lakini sikuelewi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Muuza Unga

    Polisi Arusha wafanya unyama wa Kutisha

    Aunauhakika aling'ang'ania? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Muuza Unga

    Shirika la Posta Tanzania na ubabaishaji katika biashara za Kimataifa

    Wewe halijakukuta Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Muuza Unga

    Shirika la Posta Tanzania na ubabaishaji katika biashara za Kimataifa

    Hili shirika ni UOZO MTUPU Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Muuza Unga

    Shirika la Posta Tanzania na ubabaishaji katika biashara za Kimataifa

    Watanzania wenzangu, sijui kama kweli mnanufaika ipaswavyo na hili shirika letu. Limebaki kuwa shirika la kuandaa mashindano ya insha mashuleni yaani upande wa biashara mimi naona ni upuuzi mtupu. Mfano: Nmekuwa nikiagiza vitu toka China na nchi nyingine za Asia kwa mitandao ya Ali express na...
  7. Muuza Unga

    Harakati za fao la kujitoa

    Wazo lako sio baya hata mimi nimewaza hivyo hivyo jana maana niliumiza kichwa sana nikajikuta nawaza hivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Muuza Unga

    WATOTO WAPO HATARINI SHULE YA MSINGI CHANGA, TANGA MJINI, WAHUSIKA HAMUONI

    Poleni kwa majukumu watanzania wenzangu, Naandika uzi huu kama mtanzania niliyeguswa na hali mbovu ya kiusalama katika shule hiyo hapo juu ambayo iko Tanga mjini karibu na soko la samaki la deep sea lakini pia naandika uzi huu kama mzazi ambaye naona mambo hayaendi vema sehemu hiyo. Hiyo shule...
  9. Muuza Unga

    Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

    Huyo anipe mimi nimuoe kabisaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Muuza Unga

    Nigeria: Mchungaji apigwa risasi 40 bila hata moja kupenya mwilini mwake

    ACHENI KUDANGANYWA!!!! kilichotokea hapo, 1. Pasta anachana shati lake matobo sehemu tofauti kwa msumari na kuyatanua au mkasi pia ukiwemo (tazameni hayo matundu sio ya risasi kwa anayejua risasi) 2.Pasta baada ya kuchana hayo matundu anakwenda sehemu ya mbali iliyojificha na kulishambulia gari...
  11. Muuza Unga

    Bachelor degree with Honours

    huo ndio ukweli hata mimi nimepata hiyo
  12. Muuza Unga

    Prof. Mwandosya: Mkuu wa nchi akikutuhumu hadharani unajiuzulu mara moja

    kumbe bado kuna uchaguzi tanzania?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] God save my lungs[emoji13] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom