Bachelor degree with Honours

Nov 6, 2015
46
18
Bachelor degree with Honours should be awarded only to a candidate who completes studies within the prescribed period of the programme at second class level and above and without supplementing any subject.

WAKUU INAUKWELI HIYO?
 
wangapi wamepata hiyo watupe mrejesho

wangapi wamekosa hiyo watupe sababu za kukosa
 
Bachelor degree with Honours should be awarded only to a candidate who completes studies within the prescribed period of the programme at second class level and above and without supplementing any subject.

WAKUU INAUKWELI HIYO?
Hilo ni jina tu. Maana kuna degree zinaitwa Bsc (Hons) hata kabla hujajiunga.
 
Watu hupotosha sana. Maana ya Hons ni kwamba, uhitimu bachelor yako huku GPA ikiwa inapanda kila mwaka. Mfano, kama mwaka wa kwanza ulikuwa na GPA 3.5, mwaka wa pili 3.6 na mwaka wa tatu 3.7, hapo tayari una Bachelor (HONS)
Sasa na zile degree unazotangaziwa zina (Hons) hata kabla hujajiunga nazo umazizungumziaje?
Mfano ingia kwenye website ya Cambridge University utakuta kuna degree za hivyo.
Mfano utakuta BA (Hons) English.
Au wana guarantee kwamba utamaliza degree yako kwa GPA progressively? Kama ulivyofafanua?
 
Hii kitu UDSM wameiharibu na kuipotosha sana....

Hons saivi haina maana tena..

Wapo wenye 2nd class....2nd upper...waliosup wapo...waliocarry...

Mwisho wa siku wote cheti kinasoma "hons".

Sijui labda zamani huko. Saivi ipo tu.
 
honourable ni kwamba katika hiyo degree kuna courses flani extra unafanya ambazo wa bachelor ya kawaida hazisomi
 
honourable ni kwamba katika hiyo degree kuna courses flani extra unafanya ambazo wa bachelor ya kawaida hazisomi
Yaweza kua ni kweli.
Hata mimi kuna course nilii opt ambayo haikua kwenye option ya course zetu,na GPA ilikua inapanda na nilipata sup ila mwisho wa siku nikapata WITH HONOURS
 
vip kuhusu watu ambao ndio wa kwanza kugraduate progamme mpya iliyoanzishwa kwenye chuo ni kweli kwamba hao nao hupewa bachelor degree with honor?
 
Hizi issue huwa tofauti kulingana na nchi na chuo baadhi ya vyuo hutoa hons kwa waliosoma miaka minne , ambapo kunakua na option ya kuishia mwaka wa tatu , wengine hons huangalia GPA , wengine hons kwao huwa sawa na postgraduate , yaani inategemea na nchi zina system tofauti
 
Me nitatoa ushuhuda wangu hapa. Nina BA in Economics(hons) kutoka udsm but sijui ilikuaje nikawekewa hons. GPA yangu ni 3.0.
Mtiririko wa GPA kuanzia first year ni kama ifuatavyo
First year 3.3
Second yr 3.0
Third year 2.7
Nikiwa mwaka wa pili semester ya pili nilisupp somo moja.
So mpaka Leo sijui kwa nin niliwekewa hons kwenye cheti na wala sioni ka imenisaidia chochote.
 
Hahahaha mkuu kwahiyo ulipata gentleman au lower second??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom