WATOTO WAPO HATARINI SHULE YA MSINGI CHANGA, TANGA MJINI, WAHUSIKA HAMUONI

Muuza Unga

Member
Aug 15, 2018
28
24
Poleni kwa majukumu watanzania wenzangu,
Naandika uzi huu kama mtanzania niliyeguswa na hali mbovu ya kiusalama katika shule hiyo hapo juu ambayo iko Tanga mjini karibu na soko la samaki la deep sea lakini pia naandika uzi huu kama mzazi ambaye naona mambo hayaendi vema sehemu hiyo.
Hiyo shule imekua na tabia ya kuwaachia watoto warudi nyumbani saa 12 nanusu jioni, na wengine wanatoka saa 2 usiku, najiuliza tu hata kama walikaa wakapanga ni kwaelimu ipi hasa hapa tz unamkalisha mtoto shule zaidi ya masaa 12 ?
Usalama ukoje ukizangatia changamoto za usafiri?
Hali si shwari hata kidogo,nikitu cha kawaida sasa kuona watoto washule hiyo wakipita mabarabarani usiku wanatembea kurudi nyumbani na wazazi wamestarehe tu majumbani, upuuzi ulioje?
Kwani hiyo shule inaongoza kwa ufaulu Tanga mjini? Lahasha! Mbona shule zinazoongoza kwa ufaulu hazina hizo programs za kipuuzi,
Wakuu wa Vitengo vya elimu Tanga mjini mko wapi?
Afisa elimu Tanga mjini Uko wapi?
Kwani wanasoma rocket science wale?
Upuuzi mtupu,
Huyu mama anaeitwa EDINA MUSA ndio mkuu washule wa shule husika nimeshindwa kabisa kuelewa anashauriwa na nani!
Naomba mamlaka husika ziangalie hili jambo kisha lichukue hatua haraka iwezekanavyo kabla madhara hayajatokea.
Nilipokuwa chuo kikuu hatukufundishwa dozi wanayopewa hawa watoto leo, kwakweli nimeshindwa kufahamu wamesomea wapi hawa walimu, hawa ndio makanjanja , chukueni hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umewafahamisha wazazi,watelewa.
 
Back
Top Bottom