ukifikiria kwa mapana ukawa ndyo sababu yakutosonga mbele kwa majadiliano ya rasimu ya katiba.Mjinga pekee ambaye anaweza fikiri kuwa rasimu iliyopendekezwa na tume ya warioba ingepitishwa tu kama maji mtaroni basi wabunge wangekuwa wote wapumbavu na ingekuwa bure kuchaguliwa kwao na matumizi...
Tutambua Kuwa Hata Ukibeza You Nothing Like Flying Air! Mi Nafikiri Amestahili Anamchango Wa Pekee! Mtu Ananyanyua Kinywa Kutukana Serikali Na Anatembea Alafu Unabeza Hajakuza Democrasia. Hebu Watanzania Tuepuke Ushabiki Wa Kiamla Au Kigaidi! Mtu Akitenda Chema Mpongeze Hata Kama Siyo Wa Chama...
Tambua Ni Padre! Kama Unatambua Vema Kikanisa Ukisha Padre Umejifungia Sakramenti Ya Ndoa Huna Tena! Mpaka Leo Sijui Nin Kilimfanya Asimimishwe Upadre Namashaka Alikuwa Anagoma Goma Sana Kuongozi Misa Maana Ndyo Slogani Yake Wazo Lake Lisipokubaliwa Tu Tuandamane! Zaidi Kitendo Cha Kudai Kama...
Kayamani! Diamond Ni Kijana Wa Tanzani Naamini Atafanya Kitu! Nani Alijua Spain Ingefungwa 5 Au Brazil 7'kwa Wasanii Tanzania Diamond Namba Moja ! Anatambua Wajibu Wake Na Nin Anapaswa Kufanya.Mm Naamini Atayaangusha Makatapila Namwombea Ashinde
Infact Hata Mwandaaji Wa Mdahalo Umekosea! Kamwe Auwezi Mwalika Sista Au Padre Katoliki Akiri Akupe Sababu Za Martin Lvher Kujitenga! Hivyo Walioko Nje Ya Mchezo Ndo Wanaona Makosa Ya Straika.Hivyo Wote Hawana Majibu Kwasababu Wote Wanasiacha Tena Wakitokea Vyama Tofauti Na Wengine Ndo...
pia na ushauri! iv sasa mazao yanavunwa nakuzwa kwa bei ndogo na baada ya miezi 3 bei itapanda! kuna sehemu ni sh30 gunia la debe 7. alafu unaenda kuuza kwa sh 350 kwa kilo moja! unaonaje wadau! tunaweza anza na hlo moja anakusanya mazao mwingne anasafirisha hata kupeleka kenya!
pia na ushauri! iv sasa mazao yanavunwa nakuzwa kwa bei ndogo na baada ya miezi 3 bei itapanda! kuna sehemu ni sh30 gunia la debe 7. alafu unaenda kuuza kwa sh 35 kwj kilo moja! unaonaje wadau! tunaweza anza na hlo moja anakusanya mazao mwingne anasafirisha hata kupeleka kenya!
kaka ungeweka na bei bt vema sana golden view ipo juu kidogo soko la kati unachukua tex 2000 mwambie akupeleke au silvar motel bei tax hyo hyo au new castel hotel! kama upo vzr nenda mosh view juu kdogo ya stand sh 70 mpaka 100 per day! karb
siyo busara hata kidogo kudharau maombi ya wengine maana wewe hata siku moja haujaomba! usihatarishiea maisha yako! ameomba kadri Mungu Alivyomwongoza.Hii Ni Dalili Yakuwa Kundi Fulani Limeshajua Limefeli The Answer Kutukana Tu Hata Maombi.
Wadau Sisi Sote Watanzania Kuitana Wehu Wajinga Siyo Tija .Nashauri Vyama Ni Nyenzo Za Kuibana Serikali Itimize Wajibu Wake Ndo Maana Wabunge Wote Wakienda Wanapewa Shangingi Hakuna Anayegoma! Lakin Haliwazui Kuibana Serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.