Lodge gani nzuri Moshi?

Lodge gani nzuri Moshi?

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
346
Kwa wale wadau wa moshi mjini tujuzane hili tafadhali,Nimepata ka safari ka ghafla kakwenda moshi,hivyo ningepennda kujua ni lodge gani nzuri,inayotoa huduma ya chakula na vinywaji na yenye bei ya kizalendo ninayo weza kupumzika hapa moshi mjini?
 
kaka ungeweka na bei bt vema sana golden view ipo juu kidogo soko la kati unachukua tex 2000 mwambie akupeleke au silvar motel bei tax hyo hyo au new castel hotel! kama upo vzr nenda mosh view juu kdogo ya stand sh 70 mpaka 100 per day! karb
 
Thanx mkuu bajet yangu ni elfu 30 mpaka 40/one night,iwe sehemu tulivu pia.
 
Nenda Kibo ipo kule shanti town bei Muruaa executive kwa single inaanza 80000-100,000/ na double 120,000-140,000.. inamazingira mazur ukifika kama upo appartment tu
 
Mkuu nimekupata,ila hii ikombali na rate naona sio za kizalendo maana ninampango wa kukaa siku nyingi kidogo.
 
ameshasema anataka affordable price nyie mnatajia osy, impala ataweza wapi? nenda majengo mjomba utapata size yako
 
Kwa wale wadau wa moshi mjini tujuzane hili tafadhali,Nimepata ka safari ka ghafla kakwenda moshi,hivyo ningepennda kujua ni lodge gani nzuri,inayotoa huduma ya chakula na vinywaji na yenye bei ya kizalendo ninayo weza kupumzika hapa moshi mjini?
Kwa bei ndogo sehemu standard ni elfu ishirini au kumi na tano nadhani...lodge watakukamua sana..tafta guest house yenye hadhi..hapo shah tours kuna guest inaitwa mkunjiko..chumba na madirisha safi..aluminium..tiles..maji moto shower...screen ndani na hamna kelele..kuna parking safi na break fast bure..ths...150000..mashuka safi!
 
Kwa bei hiyo labda ujaribu Amans Hotel.Hoteli nyingi Moshi ni catered for tourists, however kuna bei za locals, hnachotakiwa ni kufika wakati unafanya booking, hawakupi rates za watalii.Chini ni linki ya Amans.Unaweza kuwapigia simu kama una maswali zaidi...Ipo karibu na Uhuru Park, mjini kabisa!Amans Hotel (Moshi, Tanzania) | Expedia&
Pamoja sana mkuu Simplicity,ngoja nidandie uzi ulionitumia.
 
Kwa bei ndogo sehemu standard ni elfu ishirini au kumi na tano nadhani...lodge watakukamua sana..tafta guest house yenye hadhi..hapo shah tours kuna guest inaitwa mkunjiko..chumba na madirisha safi..aluminium..tiles..maji moto shower...screen ndani na hamna kelele..kuna parking safi na break fast bure..ths...150000..mashuka safi!
sorrry ni tsh..15000..
 
Back
Top Bottom