Kigoma sio kanda ya ziwa,rudi darasani ukajifunze vizuri Gepgraphy.
Officially kanda ya ziwa ni mikoa iliyo kandokando ya ziwa Nyanza (au kwa kikoloni Victoria). Ni utaratibu tu tuliojiwekea vinginevyo ukitaka kutumia tasfiri yako ya kanda ya ziwa basi itabidi Iringa, Ruvuma, Mbeya iitwe kanda ya ziwa (ziwa Nyasa) pia Rukwa, Katavi na Kigoma pia itakuwepo(Ziwa Tanganyika).Mkuu, inawezekana kijiografia hajakosea sana. Kanda ya ziwa ipi? Victoria au Tanganyika?
Tumeshikilia kanda ya ziwa Victoria. Kumbuka kuna nchi zinaitwa za maziwa makuu na Lake Tanganyika imo katika maziwa hayo!
Huyu jamaa pamoja na kuwa kakosea ila wewe ndio unakosea zaidi. Ungempotezea tu au kama vipi ungemweleza tu kistaarabu.acha usenge ww kwan lazma uchangie? Mtu anamtafuta ndg yake ww unaleta habar za darasan. Mbona ww darasan ulifeli ? Acha kujifanya wajuaji kwenye matatizo ya wenzenu
Officially kanda ya ziwa ni mikoa iliyo kandokando ya ziwa Nyanza (au kwa kikoloni Victoria). Ni utaratibu tu tuliojiwekea vinginevyo ukitaka kutumia tasfiri yako ya kanda ya ziwa basi itabidi Iringa, Ruvuma, Mbeya iitwe kanda ya ziwa (ziwa Nyasa) pia Rukwa, Katavi na Kigoma pia itakuwepo(Ziwa Tanganyika).
Kifupi Kigoma imewekwa kanda ya magharibi.
Kigoma sio kanda ya ziwa,rudi darasani ukajifunze vizuri Gepgraphy.
Inawezekana ukawa sahihi, ngoja nikipata muda nitaichimba hii ishu Mungu akipenda.Mkuu, ni mazoea tu si rasmi (Official)
Kigoma sio kanda ya ziwa,rudi darasani ukajifunze vizuri Gepgraphy.
Sina picha yake mkuu
Alizaliwa Kanda ya Ziwa, inasemekana ni Mkoani Kigoma, wakati baba yake, Martin M. Mmassy, alikuwa anafanya kazi railway, Kigoma.