Updates: Mbowe, Mbatia, Lipumba wamesema Ukawa hawatarudi BMK!

H apa niliamsha popo ila naona wamerudi msituni wooote.......
 
Plan A failed they were looking for plan B also performed the same! Hapo patakua panogile jamaa wanaakili sana kutegua huo mtego. Ukisema kusubir kula za wananchi ndo wanachakachuliwa kila cku just think behind the scene kwa kizazi hiki naona meli inazama hapo nyuma ya magogon
 
Mdharau mwiba...mlifikri UKAWA wanatania!

Mnawaita kwa kutishia 'ho! msipokuja bado bunge litaendelea'..endelea basi! hata hivyo msiliendelea walipotoka? Mnataka wa nini kama kolumu inatimia na mnaweza kupitisha katiba with majority votes! Kiburi na midhaa yenu haitawasaidia hata kidogo! Sisi sote ni watanzania, hakuna aliyejuu ya sheria.

Milifiri wataraghawiwa ni viposho 300,000/Tsh. Chukueni hizo posho na katiba mpitishe hovyo ovyo kama mlivyozoea kupitisha sheria na mambo muhimu bungeni kwa kura za ndiooooooo!
 
siku zote mtu asiyejiamini huwa anaishi kwa mashaka tu! Haya mambo hadi ya Chopa, hzo ni hofu ambazo huwa hazizai matunda!
 
ukifikiria kwa mapana ukawa ndyo sababu yakutosonga mbele kwa majadiliano ya rasimu ya katiba.Mjinga pekee ambaye anaweza fikiri kuwa rasimu iliyopendekezwa na tume ya warioba ingepitishwa tu kama maji mtaroni basi wabunge wangekuwa wote wapumbavu na ingekuwa bure kuchaguliwa kwao na matumizi mabaya ya fedha za uma! hivyo UKAWA lazima wakubali mapungufu yao 'a hero die on the battle not else'! hivyo msimamo wa ukawa hauna mshiko hata kidogo ndyo maana viongozi wote wa dini wamewaambia warudi bungeni kuendelea na mchakato wa majadiliano mitaani hakna mjadala!
 
Mdharau mwiba...mlifikri UKAWA wanatania!

Mnawaita kwa kutishia 'ho! msipokuja bado bunge litaendelea'..endelea basi! hata hivyo msiliendelea walipotoka? Mnataka wa nini kama kolumu inatimia na mnaweza kupitisha katiba with majority votes! Kiburi na midhaa yenu haitawasaidia hata kidogo! Sisi sote ni watanzania, hakuna aliyejuu ya sheria.

Milifiri wataraghawiwa ni viposho 300,000/Tsh. Chukueni hizo posho na katiba mpitishe hovyo ovyo kama mlivyozoea kupitisha sheria na mambo muhimu bungeni kwa kura za ndiooooooo!

si kwakuwa walikuwa wanapokea 450,000? Sasa wewe unadhani sisi tukikosa katiba wewe ndo utaipata? Hebu tumia akili kidogo!
 
kwanza unajua maana ya katiba mpya au jarada jipya la katiba?wewe nani unamuona antaka katiba mpya? je yule anaetaka kujadili rasmu na ilani ya chama chake au yule anaepinga hili na yeye anataka kujadili maoni yanayotoka kwa wananchi kupitia rasmu ya warioba?ambayo ni maoni yako wewe pia zuzu
 
ilani ya chama imetoka wapi BMK? Acheni uwongo wa maneno! Kama ndo hivyo kwani sisi hatuna hiyo rasimu japo ni ya watu wa kigoma?
 
hakuna kurudi bungeni maccm yamezidi uchakachuzi UKAWA GO GO GO
 
We unafikir kwel kama swala namna ya kupiga kura tu limechukua karibu wiki mbili na ulishaona wapi kula inapigwa wazi kama sio kulitia aibu taifa hili haya zile siku 70 walizokaa zimezaa kipi kama sio kupoteza muda na hizo cku 60 muone hata aibu jaman mnataka mpaka kipofu aone na akiona itakua kazi we unasema viongoz wa dini taifa hili halina dini me sioni kinachofanyika dodoma
 
u trust urself na wafadhili wenu.

Tulia we hujui nipo na kundi gani nasema tupo wengi isipokuwa wew ila baadae utajiunga nasisi. In ukawa we trust. Go go ukawa. Let the will of our mighty God be fulfilled in the name of Jeaus Christ
 
sahihisha hilo neno Jeaus Christ, ni Jesus Christ.
 
Back
Top Bottom