Recent content by mutua12

  1. M

    JamiiForums Tanzania Safari ya Spika Sitta Urambo baada ya NEC August 2009

    B wassa ...............Lwassa kazi kweli kweli vita kubwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru Vipi Tena?

    Siyo kwamba ukweli ufichwe kwani nani hajui kuwa watu wengi wamedhurika, na si lazima utangazie watu wote hata wapita njia , zingewekwa basi hata ndani siyo front page!!!!!!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru Vipi Tena?

    watu wa mbagala wamechoshwa na mabomu, kuwaweka kwenye picha ndugu zao inawaongezea machungu,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru Vipi Tena?

    Gazeti hili limetoa picha za majeruhi wa mabomu Mbagala ukurasa wa mbele wakiwa wamelazwa chini wawili wawili kwenye godoro moja. Binafsi sijafurahishwa na picha hizo likiwa ni gazeti la chama tawala lisingeonyesha picha hizo. Wengine mnasemaje?
  5. M

    JamiiForums Tanzania utwana hutaishi tanzania

    Pamoja na nchi hii kupata uhuru wake miaka zaidi ya 40 sasa bado kuna watu wanatumikisha na mabwana makubwa na kunyanyashwe na pia kudharauliwa. wakati wa ukoloni mababu zetu walitumikisha na kuitwa makabwela. watu wasio na kitu. lakini hadi sasa watu ni maskini wa kutupwa. cha kushangaza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini Nimejifunza kutoka Ze Utamu na RM/RA Saga

    MIMI najiuliza mbona Shigongo na magazeti yake ambayo hayana tofauti kwanini hafungiwi?. Lazima kuna kitu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

    Wakuu tuleteeni picha ya lile kasri la BM kule LUSHOTO
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mengi VS Rostam: Where is the Government?

    Ndugu tabia ya kukopi kwenye magazeti inakera? ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jengo la washirika lumumba kulikoni?

    mkuu unashangaa nini hii ndio nchi ya mafisadi , akina ra wameona hakuna dili hapo.jengo la walala hoi , wao wanaingia ubia kama jengo la vijana ambako wanaona ulaji wa nje nje. Pia nenda mikoani majengo choka mbaya , we bora ujirudie huku huku majuu tu usije ukashagaa mwisho ukawa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

    Tbc1 inastahili kulaumiwa kwa nguvu zote,kwa kuwa ni chombo cha serikali na kinatumia kodi za wananchi. RA anatuhuma za UFISADI asingepatwa kutumia chombo hicho kumsafisha .Picha hapa ni kwamba serikali inatetea mafisadi , RA ni Mbunge asinge weza kulumbana kwenye vyombo vya habari badala yake...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mh Masilingi vs Prince Bagenda

    Hapo umenena , Tiba naye akijaribu ataanguka kama ilivyo kuwa jimbo la Mbeya Vijijini na akiendelea kuwa pamoja na huyu kuwadi atakuwa amejimaliza mwenyewe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mh Masilingi vs Prince Bagenda

    Wakuu hivi kwa nini wanasiasa wa Tanzania wanapenda sana kupakana matope? Badala ya kuweka kipaumbele cha kuleta maendeleo kwa wananchi wake wao kazi kusemana tu. Ndio maana hutuendelei, sasa hivi wanafikiria uchaguzi wa 2010 hakuna cha ahadi walizotoa 2005. Kusema kweli huyu mtu anitwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je kamati za Bunge kupewa posho na MASHIRIKA ni kosa?

    Kamati ya bunge kulipwa posho na shirika au wizara au Idara ya serilkali ni makosa kwa kuwa shughuli zote za kamati za bunge huratibiwana ofisi ya bunge kwa maana kwamba wanapokwenda kutembelea ofisi zingine tayari huwa wamakwisha lipwa posho zote na ofisi yao .Hivyo kulipwa kwenye vikoa hivyo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Na hii ya viongozi wa UWT je?

    Usisahau na Katibu Mkuu wa UWT ni HUSNA MWILIMA. , Mwenyekiti wa vijana JE , NA wa wazazi je . na NGAZI YA JUU ya CCM JE, WENGI HAWA NI DINI MMOJA NA SIKU SWALA LA OIC NA KADHI MKUU LITAKAPO PELETWA VIKOA VYA CCM MATOKEO YAKE TUTAYAONA. WA KWANZA KUUNGA MKONO ZITAKUWA HIZO TAASISI ZAKE .YETU MACHO
  15. M

    JamiiForums Tanzania Na hii ya viongozi wa UWT je?

    mwenyekti wa uwt Sofia Simba ametangaza safu ya viongozi (wajumbe) wanzake 5 watakao fanyakazi nao ni:- Hawa ghasia shamsha mwangunga zakia megheji zainabu shomari thureya abdala kamati ya utekelezaji pamoja nahao hapo juu ni lucy mayenga fatuma toufiq...
Back
Top Bottom