Na hii ya viongozi wa UWT je?

Huu ni UDINI mtupu hamna ubishi.

Ndani ya UWT-CCM kuna wamama wenye uwezo mzuri tuu kuliko hao vilaza wote hapo juu.

Nilisema mapema,JK anafanya kila awezalo kuhakikisha waislamu wanashika hatamu ya hii nchi.

Yetu macho na masikio,Jibu tutakupeni 2010.

Usisahau na Katibu Mkuu wa UWT ni HUSNA MWILIMA. , Mwenyekiti wa vijana JE , NA wa wazazi je . na NGAZI YA JUU ya CCM JE, WENGI HAWA NI DINI MMOJA NA SIKU SWALA LA OIC NA KADHI MKUU LITAKAPO PELETWA VIKOA VYA CCM MATOKEO YAKE TUTAYAONA. WA KWANZA KUUNGA MKONO ZITAKUWA HIZO TAASISI ZAKE .YETU MACHO
 
Msije mkajaribu kwenda kwenye uchaguzi na bango la dini ,msijaribu tena futeni fikra hizo ,hivi hamfahamu kuwa wanaofuata dini ya kiislamu ni wengi kuliko wanaofuata dini ya kikiristo.
Halafu jambo jingine ni kuwa katika ukiristo kuna Wakatoliki ambao siasa zao ni kuwa wao ni bora kuliko wakiristo wengine hata katika mambo ya kikiristo hilo wanalielewa na kuna kupingana kwa wazi kabisa ,WaKatoliki wanataka kuwatawala au kuwa juu ya wakiristo wengine ,na ukiristo hauwezi kuweka usawa juu ya wakiristo wengine hizo ni sera za Wakatoliki zinajulikana wazi kuwa wao ndio bora kuliko wengine na lazima wawe juu ya wengine kwa kila kitu.
Uchaguzi uliopita ilikuwa bado kidogo tu waislamu wasimpe kura Sultani CCM ,chupuchupu salama CCM wakampata Kikwete lakini kama angekuwa mkatoliki basi ndio ungekuwa mwisho wa Sultani CCM,na vilevile wizi wa kura ndio uliomsaidia Sultani CCM kubaki madarakani.

Tuzungumze kwa takwimu: hii habari kwamba Waislam nchini ni wengi kuliko Wakristu siyo sahihi. Tembelea/nenda Beuro of statistics kujionea takwimu hizo.Hata kwa simple reasoning Idadi kubwa ya Waislam wako ukanda wa Pwani tu.Takwimu za mwaka 2004 zinaonyesha kwamba Wakristu ni 17 million na Waislam ni 14 million. Narudia; tuzungumze kwa takwimu. Hata hivyo Mkombosi punguza jazba.
 
Kama wana uwezo wa kiuongozi so be it, pale haitangazwi injili wala aya za quran, pale ni ccm, ccm, chama cha mapinduzi ccm namba one, watanzania wanasema? Ccm namba waniiiiiii
 
mainland - Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%; Zanzibar - more than 99% Muslim

CIA-World FACt book
 
People forget how long Anna Abdallah was at the head of UWT, kina mama Mulamula.. jamani this is a CCM thing, hakuna udini wowote. Labda kweli JK ana some form of sympathies zakidini lakini he knows not to let them manifest themselves in too great a way to the extent that would jepordize national security. I think in this matter, dini iko very irrelevant, hawa watu wanachaguana kwa patronage yaajabu.. namjua mume wake, ni rafiki yangu, tunasali wote azania, tulikua darasa moja cho kikuu, ni mhaya mwenzangu etc... its not only dini that plays in here.. To suggest that would be to encourage a very dangerous form of paranoia. Let us practice our faiths in moderation.

I remember nilivyokua form2 i went over to a friend's house na alikua mkatoliki, eti kumbe baba yake, mwanajeshi and a former Brigadier alikua anachukia waislamu sasa eti jamaa akaniambia "angalia bwana mzee hapendi waislamu" At the time I smiled and said " poa!" thinking in my head.. (Would Christ sancton this? Kuchukia mtoto kisa kazaliwa kwenye familia yakiislamu..lol!) I cant claim to know what Jesus would think but I doubt very much that he would hate children because they believed in a different variant of his teachings.

I wish not to ingnite some sort of religious war here lakini naombeni tuu watanzania wenzangu tuwe moderates na tupendane! Dini ni dini tuu lakini Utu wamtu hautokani na dini bali personal values, kuja hapa nakusema kuwa unachukia watu fulani, au tuanzishe vita sijui nini..! its shocking and scary because we begin to see just how close such sentiments lurke from outright conflict.. A conflict that would Kill Children and women and old people. In war, no one wins, only one prevails but winning is not winning when it means death and hunger and sorrow. Tuache mawazo machafu under the banner of DINI!

Dini to be honest is not of paramont importance kama mtu umefundishwa chuki madrassa ama Mafundishoni which i doubt.. take time to read the history and evolution of your faith, I hate people who claim to be ultra religious bila kujua hizi dini zimekujaje kuwa in the current form that they are in katika jamii zakiafrika..

A history of Islam and Christianity from academic sources will demonstrate to you the dangers of religions and manner in which it can turn brother against brother for example in jerusalem during the crusaided Saladin executed over 1000 crusaiders and 1500 muslim soldiers were beheaded by European christian forces. What a waste of life! People have been hung drawn and quarterd (google it maana its the worst thing that can be done to a human being) kwasababu ya dini. The spanish inquisition, the attrocities of the Taliban government, Al-Qaeda... all this is religion. Not God.. religion

Sometimes I wish we were all Buddists in this world maana then no one would kill another man for no apparent reason.. but perhaps human nature which is inherently distructive would prevail.. Sijui!
 
Kinyambis wewe umebahatika kuwa unasali kanisani na Mume wa Sofia Simba, wengine hawajui hilo...

Some people will have to pay the price ya hiki ambacho tunachokipanda sasa hivi...Mtu anazungumzia sensa 2004 wakati hakuna sensa iliyofanyika bongo...

Ushauri wangu ni vema ktk Suala la Vitambulisho vya kitaifa DINI na KABILA visiwepo..hata Polisi na ktk fomu za Mashirika DINI na MAKABILA visiwepo kwani hizo ni data ambazo wakati wa vita watu watavitumia kuwamaliza wengine...acha tu iwe unofficials hizi details....kuwa officials zinaweza kutucost in future...

Back ..nafikiri wapambe/Wanachama wa CCM watakuwa responsible kwa teuzi zao wanazozifanya...Inawezekana hao nusu ya waliochaguliwa wametoka Zanzibar....!!!!
 
Ni mbaya kuliko, inamaana ktk UWT wenye sifa ya kuongoza ni hao waislam hakuna wanawake wa Kikristo wanaoweza kuongoza UWT?

Kumbe sasa tuanze kupangana kidini? Jee timu ya Maximo Vipi? Nahisi kama kuna kaupendeleo cha dini maana nasikia Maximo ni mkiristo na ndio maana Chuji na Haruna Moshi (wote Waislamu). Au sivyo wanaukumbi si tumeishiwa ajenda na sasa tunahesabiana kidini.
Wacha kunikupeni sababu kwanini Waiaslamu wengi katika siasa, ni kwasababu Siasa haitaki usome na hao walilikosa huko nyuma na nasikia hata TANU ilianzishwa nao.
 
Dawa ya kuwaonyesha waislamu tumewachoka ni GENERAL election tuu.

Wakristo amkeni acheni kukubali kuburuzwa buruzwa,enough is enough,
Uchaguzi mkuu unakuja tuwaonyeshe nasi tusivyofagilia upuuzi wao,eboooooooooooooooooooooooo.

Unbelievable! Karibu miaka 50 tangu tujitawale na bado kuna watu wa aina hii wenye mawazo mgando kama hayo hapa Tanzania. Ndio maana nchi yetu haiendelei kwa ku waste resources zake bure kusomesha watu kama hawa..
 
I hate them,na wanalitambua hili.

Njia za kuwamalizeni zipo nyingi,tukishindwa kabisa tunakufa wote(how????=Jibu unalo)

..Pamoja na lugha zooote na uchochezi naona bado Mods wanaburudika na huyu mwenzetu. Nadhani alitakiwa awe banned kwa au hii post yake ifutwe...

Mimi ni mkristo lakini sijafikia kuuchukia utu wa mtu yeyote wala dini, wala kabila au jamii yeyote...

Hapa hoja ni kwa nini UWT wamevurunda ktk kuteuana kuingia ktk kamati ? hilo la dini tuliache, tuangalie UWT ina maslahi gani kwa Taifa na maendeleo yake? au ndo baraza kuu la wanawake Tanzania? kama ni la CCM basi hili suala pelekeni ktk vikao vyao vya kahawa wakalizungumzie huko. Tunajua CCM ni wezi wa rasilimali za taifa hivyo kujadili uhalali wa kwa nini fulani hajakuwemo ktk kamati zao ni sawa na kushabikia kwa nini fulani hajafaidika kwa kukosa nafasi ktk EPA????

Mods sometimes mnatuangusha....
 
Back
Top Bottom