utwana hutaishi tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

utwana hutaishi tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mutua12, May 12, 2009.

 1. m

  mutua12 Member

  #1
  May 12, 2009
  Joined: Aug 20, 2008
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na nchi hii kupata uhuru wake miaka zaidi ya 40 sasa bado kuna watu wanatumikisha na mabwana makubwa na kunyanyashwe na pia kudharauliwa. wakati wa ukoloni mababu zetu walitumikisha na kuitwa makabwela. watu wasio na kitu. lakini hadi sasa watu ni maskini wa kutupwa.

  cha kushangaza eti kuna benki inaitwa benki ya makabwela ,hivi kweli ni sahihi kuiita hivyo, inmaana wateja wake ni makabwela kweli. hio tupige marufuki kuanzia leo .

  Hivi kuna machinga wa wahindi katika nchi hii, wale waliohamishi Kongo wakaenda , kilwa, na hatimaye Tazara, mhindi yupo, sasa inasemekana wanahamishwa hapo na kupelekwa Tabata, kwani nini lakini, wakabwela hao, eneo hilo labda kapata Mhindi.

  unaona machinga complex mbona mpaka sasa hakuna kina endelea, kuna ufisadi unaendelea. sasa watu wakasemmee wapi?

  Natoa wito watanzania tusiwe watwana, tusiwatetee hawa watu, wanatunyonya sana, umasikini wetu usitunyime uhuru wetu.
  katika nchi hii ,tembea uone , hawajawahi kupanda gari, na watu wakitoka tu hawarudi tena kwao. mkumbwa moja ameshidwa kuendelea na ziara na kuacha gari kilometa kadhaa kwa kuwa magari hayapiti hukuna barabara, aibu. Fedha zinaliwa watu wanasema ubaguzi wa rangi wakati wao wanakubagua. ukiancha kuoa , angalia kuna shule za sekodari , na msingi, ambazo wanasoma wenyewe tu, ( indian school) kwa nini wanatubagua.

  Tunanyanyaswa, tunanyonywa, tunadharauliwa, tunatunuliwa kama watumwa ili kuwatimizia malengo yao . sasa tunataka mapinduzi yatakayo fanywa tusinyonywe tena na tusinunuliwe tena. Tufanye kazi kwa biddii kuachana na dhana ya maisha/kazi popote ili mradi mkono unaenda kinywani.
   
Loading...