Recent content by Musomakwetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lilipo Kanisa la Moravian maeneo ya Kigamboni

    unaonekana ni mgeni kabisa WA kigamboni maana makanisa yapo mengi mno,aliyekusimulia alikudanganya,siku ukifika Dar jitahidi ufike kigamboni
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano wa tukio la Stakishari watiwa mbaroni

    Polisi ndio waliotangaza kuwa wameuawa au ni uzushi wa humu jf??lazima utumie akili sio kuongea pumba tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu tunakuwa wazito kutoa taarifa Polisi?

    We kweli bodaboda, "porisi????"
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi na raia Stakishari, Polisi fanyeni haya kuwapata wauaji

    Kwa mara ya kwanza tangu nimeanza kusoma mambo ya kipolisi humu jf, leo ndo nimekutana na mtu mwenye hoja zenye akili sana maana huwa naona tu kejeli na matusi kwa Polisi, mkuu yaan ww ni great thinker kweli, nataman ushauri huu waupate walengwa najua hawataupuuza
  5. M

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Tutarudi na roho zetu?

    Mtaa wa Samora mita chache tu kutoka picha ya askari
  6. M

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Tutarudi na roho zetu?

    Kwa wale mlioko Dar fikeni pale TPH BOOKSHOP samora karibu na Sapna upate nakara yako, mi nimeinunua jana tsh 7000 tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Je, IGP anaweza mpigia saluti CDF wa JWTZ?

    Police siku hiz nyota zao za kwanza wanapewa na Rais, kwa hiyo ni commissioned, magereza na uhamiaji bado hawajaingia ktk hiyo system, kwa hiyo hapo kidogo umedanganya umma, hawako Sawa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kuhudhuria kuapishwa Buhari Abuja

    Huku kwetu mkuu hajaenda, amegoma makamu wake
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa plate namba za magari

    una uhakika Escort 2 ni ya Rais?usiropoke usilolijua!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huu uonevu wa wanajeshi Ikulu usifumbiwe macho

    Elli kwanza rekebisha kauli yako,wale sio wanajeshi kama unavyodai ww,wale ni askari ambao wako chini ya idara ya usalama wa taifa na mafunzo yao wanayapata pale chuo cha usalama wa taifa (sikwambii kilipo) siku nyingine ukipita pale wasogelee kwa karibu unaweza kuona hata tofauti ya gwanda,no...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huu uonevu wa wanajeshi Ikulu usifumbiwe macho

    Elli kwanza rekebisha kauli,wale sio wanajeshi kama unavyodai ww,ni askari ambao wako chini ya idara ya usalama wa Taifa na mafunzo yao wanayapata pale chuo cha usalama wa Taifa (sikwambii kilipo) siku nyingine ukipita pale wasogelee kwa karibu unaweza kuona hata tofauti ya gwanda...no research...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuweka password kwenye folder

    Download app lock unafunga chochote unachotaka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    usidanganye watu,mbona mim nyota yangu ya kwanza nilivalishwa na mh.Rais,unataka kuniambia mim sio commissioned officer?siku hiz mambo yamebadilika
  14. M

    JamiiForums Tanzania Riwaya - Balaa

    riwaya kama hii inafaa kuisoma mwanzo mwisho,hv unavyoweka kamojamoja hv unapoteza kabisa radha ya mchezo,kwa nn usiweke kuanzia mbili au tatu kwa siku?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hongera mamlaka ya kivuko Kigamboni

    Na magari yanakaguliwa, nimeshuhudia mwenyewe
Back
Top Bottom