mgoshawampasa
Senior Member
- Jul 30, 2014
- 105
- 27
Jamani mimi ni mgeni huku Kigamboni na ni muumini wa dhehebu la Moravian Kwa anayejua lilipo naomba anielekeze maana nakaribia mwezi sasa na cjaweza kusali. Ntafurahi sana nikilipata.
kwa nn unamshauri abadili kanisa mkuu?Kigamboni hakuna kanisa la Moravian, waweza kushiriki ibada ktk kanisa la Lutheran lipo stand ya mabasi ya kibada na kongowe Feri!
kwa nn unamshauri abadili kanisa mkuu?
Kigamboni hakuna kanisa la Moravian, waweza kushiriki ibada ktk kanisa la Lutheran lipo stand ya mabasi ya kibada na kongowe Feri!
Kwa Mkristo Ikiwa Huwezi Kufika Lilipo Kanisa Lako Maeneo Hayo Unaweza Kupata Huduma Kanisa La Jirani Ikiwa Ni Kusali Tu
Nimeshafikilia kufanya hivyo lakini tatizo mama watoto wangu muislamu na anataka kubadili dini awe mkristo wa kimorovian ili mwakani Mungu akipenda tufunge ndoa na pia nataka kumbatiza mtoto wangu sasa nikiwapeleka Lutheran si watakuwa warutheri na italeta complications tena maana nyumbani wote wamorovian na nataka ndoa ifungwe nyumbani (TABORA). Sehemu ya Karibu ni wapi tofauti na Kigamboni kama Kigamboni hakuna.
Jamani mimi ni mgeni huku Kigamboni na ni muumini wa dhehebu la Moravian Kwa anayejua lilipo naomba anielekeze maana nakaribia mwezi sasa na cjaweza kusali. Ntafurahi sana nikilipata.
Haiwezekan mkuu ..mpaka kanisa la dhehebu lako...waislam kwan ikoje??unaweza kusal msikii woote ule mkuu??
Mkuu
Inawezekana Sana Kama Umeshawahi Kutembelea Vijijini Unakuta Ni Mtumishi Hapo Halafu Dhehebu Lako Halipo Utasema Huwezi Sali?
Kwa Waislam Tunawaona Kila Siku Hasa Madereva Wa Malori Ijumaa Ikifika Muda Wa Kusali Akiona Msikiti Anasali Tu
Mfamo ...mm msabato nita sali Roman kwel??
Fanya fasta umlete kwa Yesu kabla hajabadili uamuzi, ikibidi mzalishe watoto chap chap halafu taratibu nyingine zitaendelea...mama watoto wangu muislamu na anataka kubadili dini awe mkristo wa kimorovian...
Kigamboni kanisa wapi na wapi ? Kigamboni ni kama Kondoa, kila mtaa wa pili kuna msikiti. Ila shule sasa, hawazipendi na hawazitaki wala hawazihitaji