zambez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 2,071
- 255
Point yangu ni kwamba, hata kama ni kosa, si suala la kumuelimisha mtu halafu unaachana nae? Unamuweka chini ya Ulinzi raia ambaye hana hata bisbisi mfukoni? Wakati wewe umeshika SMG? Huu ni uonevu usiovumilika. Naomba mamlaka zinazohusika walitolee ufafanuzi jambo hili bila kuwa biased
Niliwahi kupita na gari hapo sa kumi na mbili kasoro wakanidaka nikawaambia muda bado wakanichelewesha mpaka sa kumi na mbili wakataka kunisulubu nikawaambia akinigusa mtu ni bora aniuwe kabisa maana mh. rais lazime asikie kishindo uko ndani... Wakaniachia bila masharti...