Recent content by Mungai Msele

  1. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania Sakata la Zitto na wenzake: CHADEMA amueni kusuka au kunyoa!

    Mleta thread, You think too low, Chadema ni Taasisi sio ya Mbowe,Wala Slaa. Chadema hufuata taratibu za Chama. Na sio watu kama ww ulivyofanya.
  2. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania Je kulala chumba moja wanaume wawili kuna kosa gani?

    Mbona watu wengi huchangia chmba hasa hasa wakiwa jinsia moja wawapo safarini
  3. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania Mh. Tundu Lissu amenena vema, ni wajibu taratibu za chama kuzingatiwa

    Gwiji la Sheria afrika Mashariki na kati,
  4. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania 5 ways to make a girl love youmore;

    Jf Bana
  5. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutakubali Kuibiwa Kura tena

    Pamoja tutashinda? ChademaDaima
  6. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania Tupeni habari zinazijiri huko Machame,Kibosho,Marangu, Rombo na kwingineko Kilimanjaro

    Kama kina mtu anajua kwa Mangisina tuko hapo na masndalizi ya krismas yamepamba moto, Kila dakika watu hushuka kwenye bus wakiwa na furaha ya kuonana na ndugu jamaa; Wazee wengi huku kipindi hiki hutabasam tu muda wote,
  7. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania Moshi kweli inapendezs xmas

    Inapendeza sana. Watu kwa mamia wanapokutana ktk eneo la mamaland!!
  8. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania PICHA: Zitto Kabwe afunika Mkutano wa Hadhara huko Kigoma Mjini

    Dr Slaa . Ni Gwiji wa siasa afrika Mash na Kati.
  9. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bumbuli asimamishwa uongozi

    Vizuri kamanda. Na wakumbuke Chadema ni Taasisi intelijensia yake ni pana,Haiyumbishwi na watu dizaini ya zitto.
  10. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania Hii ya kufungua Club ya dini imekaaje wakuu?

    Hizo ni Fursa za Ajira, Si music yote huimbwa kwenye Nyumba za Ibada. Vizuri sana
  11. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa atikisa Iramba Magharibi- Singida

    Hongera Chadema na picha muweke Makene Molemo
  12. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

    Tafakar mwenyewe
  13. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania Tumshauri Zitto...

    Mawaso yako ndio unawalisha watu laki moja?
  14. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania Zitto anakataje Rufaa wakati aliomba kujiuzulu?

    Aende zake kwani ana hisa gani cdm
  15. Mungai Msele

    JamiiForums Tanzania Zitto anakataje Rufaa wakati aliomba kujiuzulu?

    Bila shaka anahitaji huduma ya Counceling
Back
Top Bottom