Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
sixgatesMkuu popote Zitto atakakokwenda lazma atingishe mkuu, zitto ana karisma
lets wait and see, Nitakukumbusha hakika siku moja
Last edited by a moderator:
sixgatesMkuu popote Zitto atakakokwenda lazma atingishe mkuu, zitto ana karisma
kwako yupo kimya..eh.Akionge aitakuweje?Sasa hivi anamwaga chuki zake dhini ya wachaga, huku akijidai kuwa ana devide and rule wachaga..haha.What a useless move.
..kw jina lako sikushangai..mimi mwenyewe ustadhi mzuri tu..najua tulivyo sisi na viunafki vyetu
kamshauri mbowe...ondokeni tu zzk ni kipenzi cha waTZ[/QUOTE
Acha ujinga! Wa Tz wapi? Jisemee binafsi
Nakubaliana nawe mkuu asipakae watu.
Siku kumi na nne zilikua za zutto kujiyeyea sio chama kutoa maamuziNauliza tena.
Zile siku 14 bado hazijaisha?
Au Zitto anaogopwa!
..unajua maana ya uhafidhina...kuso lake ukiacha mengine ni kuleta utengeno badala ya umoja....kwa sasababu ya njaa ya fedha...with poor egoisim
duh, hayo yanaitwa mahaba mkuu...Mkuu popote Zitto atakakokwenda lazma atingishe mkuu, zitto ana karisma
Mi naona Zitto afanye anachokitaka
MH ZITO watu wengi wanashindwa kumuelewa na nimeona watu wengi wakihangaika kwamba kwann anafanya hiki kwa nn asifanye hiki, mimi namfahamu vizuri mh zito si mwanasiasa mwoga he do what he believes is right. KAMA KUNA MTU ANASUBURI kumtisha au kumfanya aogope kilenachosimamia anajisumbua sana.
always hufanya mambo yake kwa kutumia rational thinking na hivo anakuwa katika rational decision si mtu wa kukurupuka kama baadhi ya wanasiasa wengi.
Zitto anahitaji kushauriwa kuwa kama anapenda kuwa mwana CDM kwa dhati, afanye mambo yafuatayo:
- Awaheshimu viongozi wake.
- Akemee wana CCM wanaotamani CDM kusambaratika.
- Aheshimu chama chake kama ambavyo kina Mwigulu wanavyokuwa watiifu kwa CCM yao.
- Awe makini na wanaomsifia hasa vyombo vya CCM na serikali
- Awaambie watanzania kuwa yeye si zaidi ya chama;
Mengine mnaweza kuongeza.
MH ZITO watu wengi wanashindwa kumuelewa na nimeona watu wengi wakihangaika kwamba kwann anafanya hiki kwa nn asifanye hiki, mimi namfahamu vizuri mh zito si mwanasiasa mwoga he do what he believes is right. KAMA KUNA MTU ANASUBURI kumtisha au kumfanya aogope kilenachosimamia anajisumbua sana.
always hufanya mambo yake kwa kutumia rational thinking na hivo anakuwa katika rational decision si mtu wa kukurupuka kama baadhi ya wanasiasa wengi.
zitto anahitaji kushauriwa kuwa kama anapenda kuwa mwana cdm kwa dhati, afanye mambo yafuatayo:
- awaheshimu viongozi wake.
- akemee wana ccm wanaotamani cdm kusambaratika.
- aheshimu chama chake kama ambavyo kina mwigulu wanavyokuwa watiifu kwa ccm yao.
- awe makini na wanaomsifia hasa vyombo vya ccm na serikali
- awaambie watanzania kuwa yeye si zaidi ya chama;
mengine mnaweza kuongeza.