Moshi kweli inapendezs xmas

Moshi kweli inapendezs xmas

kisinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
243
Reaction score
297
Duuuuhh kwa kweli wenzetu wa uchagani wana utaratibu mzuri ambao kila mtanzania anapaswa kuiga badala ya kupinga. Ukipita maeneo ya vijijijini kuna shangwe kubwa mnooo ndugu wanajumuika pamoja kwa xmas hadi raha. Moshi mjini traffic wana kazi ya ziada ya kuongoza magari kuepusha ajali kwani magari ni mengi mnooo na watu ni wengi mnoo. Nimependa kwa kweli utaratibu huuuuu.
 
wanatakiwa kuiga yale mema yanayofanywa na wachagga badala ya kuponda kila kitu,..

Huu ni msimu mahususi kwa sisi wachagga kutembelea ndugu jamaa na marafiki lengo kuu likiwa ni kuwajulia hali na kuwapelekea chochote kama zawadi na kwenda kukagua shughuli mbalimbali za kimaendeleo ambazo katikati ya mwaka ilishindikana kufuatilia,.


Yapo mema mengi yanayofanywa msimu huu wa sikukuu na kufunga mwaka!!


''Proudly to be Chagga''
 
mji wa wajanja huo na ndio wamerudi kutoka kusaka mahela........sikiliza hizo show huko migombani na jim reeves kwa mbaali
 
Kweli nimeamini na tuna mengi ya kujifunza. Karibuni makumba wadauuu
 
kesho mapicha yatakuja mkuuu. saa izi wacha tupige mabia kwanza
 
Xmass is the time to rejoice with family... Unaweka shida na tabu zote za huku mjini chini na kufurahia na familia
 
Hahahaaaaaa karibu wanjiruu wewe unaonekana ni mtaalamu.Karibu mbege makumbaaaa

Mkuu Kisinja,hapo Makumba ndio sehemu yangu ya kupotezea Muda mida ya Mchana huku nikila Mvinyo Mbege kwa taratiiiibu nikisubiri ile mida ya Pub Alberto na La Liga ifike nikashike ''Shiuno fyaa Wasungu''
 
Back
Top Bottom