Je kulala chumba moja wanaume wawili kuna kosa gani?

JFKAMANDA

Senior Member
Sep 1, 2013
121
225
Je kulala chumba moja wanaume wawili kuna kosa gani? Katika vyumba vya wageni guest house?
 

bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,429
2,000
Hapa pana maswali mengi,machache ni:
1.hicho chumba ni double au single
2.pesa yenu ni chache kiasi kwamba hamuwezi kulala kila mtu chake
3.je hapo mlipo enda vyumba vimejaa au hakuna gesti nyingine
nina mashaka na hii hoja kwakweli
 

Ndandalo

JF-Expert Member
Aug 2, 2013
388
225
Hapa pana maswali mengi,machache ni:
1.hicho chumba ni double au single
2.pesa yenu ni chache kiasi kwamba hamuwezi kulala kila mtu chake
3.je hapo mlipo enda vyumba vimejaa au hakuna gesti nyingine
nina mashaka na hii hoja kwakweli

kama ni kitanda kimpja cha sita kwa sita iweje wanaume wawili wembamba msiruhisiwe kulala pamoja?
 

Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
4,716
2,000
Kazi kweli kweli.

Chumba kimoja vitanda viwili sawa.

Ila kitanda kimoja? Mmmhuuu, labda muwe ndugu toka nkutoke.

Note: kwenu yaweza kuwa sio vibaya, mnajua nyie na Mungu wenu. Lkn kwa watu inaweza isilete picha nzuri.
 

YAKUTA

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
385
250
Kutokana na mienendo ya jamii katika zama hizi ambapo kuna mashoga, inawezekana mkawa na nia nzuri ya kulala pamoja ila jamii ikawapereceiv vingne(mashoga) na viceversa
 

MPUNGA

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
838
500
Wanaume wawili kulala chumba kimoja ni sawa sawa na kuwaruhusu watu wawili wajifungie chumbani kila mmoja na bastola yake yenye risasi kadhaa. hivyo cha kutokea cha kuja kutokea usiku wakati wamelala atalaumiwa nani?

Wanawake wawili kulala chumba kimoja ni sawa sawa na kuwaweka watu wawili walale chumba kimoja kila mmoja akiwa na bastola ya kuchorwa.
 

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
36,842
2,000
Nilishawahi kulala kitanda kimoja wanawake wawili mie wa tatu mara nyingi tu miaka ya nyuma.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom