Mbowe: Hatutakubali Kuibiwa Kura tena

Mbowe: Hatutakubali Kuibiwa Kura tena

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
834
Reaction score
140
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia Maelfu ya Wakazi wa Kanda ya Ziwa na Jiji la Mwanza Kwenye Uwanja wa Furahisha Uliopo Jijini Mwanza Wakati wa Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya alisema Chama haitalalamika tena hadharani Kuwa Kiliibiwa Kura Uchaguzi Mkuu Uliopita Kwa Sababu Kufanya hivyo ni Kudhihirisha Udhaifu. "Mimi Kama Mwenyekiti nasema Lugha ya Kukiri Kwamba tuliibiwa Kura ni Udhaifu na Ujinga. Mliibiwa Kura Mkiwa Wapi?... Nataka niwambie Kuwa hatutaibiwa Kura tena labda Sisi ndio tuibe" alisema Mbowe. Hata hivyo Mbowe aliwakumbusha Watanzania Nchini Kote kwamba Ulinzi wa Kura ni Jukumu la Kila Mwanachadema popote pale alipo. "Kumbukeni Kwamba Katika Ushindi wa Wenje (Nyamagana), Mnyika (Ubungo), Kiwia (Ilemela) Mdee (Kawe), Lissu (Singida), Lema (Arusha), Sugu (Mbeya), Ndesamburo (Moshi), Vincent Nyerere (Musoma), Msigwa (Iringa), Mimi Mwenyewe Mbowe (Hai) na Wengine wengi ilibidi yatumike Mabomu tena ya Kivita, lakini bado Wananchi Walilinda Kura zao". alisema Mbowe. PEOPLE'ZZZ..
 
By 2010, CHADEMA hawakuwa na ufuasi wowote wa maana kwenye mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Tanga, Zanzibar, Dodoma, Tabora, Singida(with exception of Singida North), Morogoro, Rukwa, large part of Iringa, Ruvuma. Sasa hizo kura waliibiwa wapi ambazo zingewawezesha kushinda?
 
Huyu mzee ni mfisadi, mwaka 2005 alipokea pesa kutoka CCM hayayote ni kupofusha wana nchi.
Ngono ahache kwanza ndo tutamwamini.
 
hivi kura hua zinaibiwaje , hii kauli nimekua nikiisikia lakini practicability yake nashindwa kuifikiria inakuaje, maana kama kura hua zinaibiwa basi kusingekuwepo na mbunge wa upinzani hata mmoja bungeni, waache kudanganya watu, mtu unashindwa fair and square unaleta porojo za kura kuibiwa
 
Mkuu stroke, hayo ndo maneno ya watu waliofilisika kisiasa. Sijui Mungu wao amechoka kuzilinda kura zao?
 
mbowe anaongea nini sasa naona anajisumbua kwani chama chake kitqfika kwenye uchaguzi mkuu mbona kinakufa kesho tu.
 
hivi kura hua zinaibiwaje , hii kauli nimekua nikiisikia lakini practicability yake nashindwa kuifikiria inakuaje, maana kama kura hua zinaibiwa basi kusingekuwepo na mbunge wa upinzani hata mmoja bungeni, waache kudanganya watu, mtu unashindwa fair and square unaleta porojo za kura kuibiwa

waongo wakubwa hawa walishakosa sera na kuamua kufanya siasa za kidanganyifu eti kuibiwa kura jamaa wa ajabu sana nadhani hawajitambui wanahitaji msaada.
 
Ulinzi wa kura ni jukumu la kila mwanachama Ulinzi wa ruzuku zinazotolewa kwa CHADEMA ni jukumu la nani?
Jukumu hilo lipo chini ya nyumba ndogo na nyumba ya kupanga ya viongozi wakuu wamchadema. Hapa namaanisha Joyce Mukya na Josephine Mushumbuzi. Ona hata majina yao initials zinafanana. (Joyce Mukya = JM), (Josephine Mushumbuzi = JM)
 
- Tumeshaozea kusikia kura zinaibiwa na tutazilinda lakini uchaguzi wa 2010 mweleka
- Tukamsikia Dr. Slaa makaratasi ya kupigia kura yamekamatwa Tunduma mpaka leo kimya
Hizi ni porojo za kuwasahaulisha watu ajenda ya Zitto.
 
Back
Top Bottom