Kwa msio na ufahamu, Christina Mugwai ni Dada wa Mh. Tundu Lissu.
Christina Mugwai ni Mbunge wa Viti Maalum Chadema.
Timueni kwanza Zitto ndio tuje tuelewane vizuri maana wanachama mnatuchanganya hatujui tushike lipi na tuache lipi, Wanachama wengi tumeshaanza kukata tamaa kabisa sababu kunaonekana hakuna haki kabisa, Masaliwa walitumuliwa faster tena kwa ushahidi hasa wa JF lakin Zitto tuhuma kibao lakin bado mnachamchekea tu.t
Tulia kijana hiki si chama cha wakurupukaji kama unavyodhani, acha wanaocheza ngoma ya Zitto waendelee kudundika. CDM ni chama cha cha mikakati na kujisimamia siyo ccm ambao hawawezi kumfokea mwizi wa chumvi.
Mohamedi Mtoi waambie viongozi kuwa wanakiuwa chama kwa kuwa na ugonjwa kuogopa kutoa maamuzi, Hatuoni umaana wa hizo ziara huku ndani kukiwa kunafukuta moto.
Wanchama wapo njia panda lakin viongozi wameweka pamba masikioni, Tofauti iko wapi ya CDM na CCM?