Recent content by Mum

  1. M

    WATANZANIA TUWE KAMA WA-GHANA, WA-KENYA, WA-HINDI, Ma-kaburu AMA WA-AUSTRALIA KATIKA KAZI.

    Wabongo bwana unamsaidia mtu akifika kazini anazoea kazi anabweteka mi kuna mtu nilimuunganishia kazi miezi miwili ya mwanzo alifanya vizuri baada ya kuzoea kazi akaanza kubweteka anafanya vile anajisikia akaiingizia kampuni hasara kubwa akafukuzwa sasa lawama ananitupia mimi hadi najuta
  2. M

    Naanza kuchukia mapenzi

    we ndio unaanza kuyachukia wakati mie nayachukia haya sitaki kusikia Pole
  3. M

    lazima utakuwa hujalala kwenu

    mi ndio kwanza naziona zinapatikana wapi hizi
  4. M

    Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

    kama zilizidi si ungeenda kuzipunguzia bafuni umsubiri mkeo arudi hukuona hata haya kweli ukiyastaajabu ya musa .....
  5. M

    Msaada

    Hivi hizi pads za pdq hazina madhara kwa wanawake kweli naombeni mnisaidie
  6. M

    Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

    Uamuzi mzuri sana huo na ambazo hazina maana zifutwe kabisa zisirushwe hewani
  7. M

    PONDA mbioni kuachiwa

    kwa taarifa zilizopo huyu ponda sio mtanzania nakuja kufanya uchochezi na kukimbilia kwao huyu ni mkongo
  8. M

    msaada wa DICTIONARY

    na mi naombeni mtumie jamani waungwana email yangu ni janepetro@yahoo.com
  9. M

    Rais wetu Kikwete anapendwa, kuheshimiwa sana nje ya Tanzania

    au na yeye anauza huwezi jua mzee dhaifu
  10. M

    Mtoto aliyekojolea Kurani hana kesi ya kujibu

    si bora huyu hakimu mla kitimoto kuliko nyie makafiri msiokuwa na akili mnafanya mambo ya ajabu (au ndio uislamu unavyowaelekeza)
  11. M

    Kura ya kutokuwa na imani na rais kikwete huu ndiyo wakati wake

    Sina imani na rais, rais gani huyu hana uwezo wakutoa tamko, anakaatu kazi kuzurura wakati nchi ni tete
  12. M

    Mabinti Wa Sekondari Na Picha Za Kihasara!

    aliyewapiga picha na waliopigwa picha wote haki hawana
  13. M

    PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    Sasa wamefaidika nini? hawa waislamu sio wenzetu kabisa binadamu gani anakuwa na roho ya kishetani hivi
Back
Top Bottom