Recent content by MulRZGM

  1. MulRZGM

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Lodge nzuri Mwanza

    Habari ya muda huu ndugu zangu? Samahani, kwa aliyepo mkoa wa mwanza, kuna lodge zipi za bei nafuu? Maana ndo nimeshuka stendi muda huu na ata sielew nianzie wapi, Msaada wenu naomba wakuu,
  2. MulRZGM

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sawa ngoja tuone itavokua
  3. MulRZGM

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Havtz na ramsdale nhmmm
  4. MulRZGM

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Aanze raya tu asee ….
  5. MulRZGM

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na yule muddi fala sana …iv sijui alituonaje onaje yan kpnd kile tulivomhitaj!!! maanina zake na badooo…
  6. MulRZGM

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ata me navoona kila mtu abak na ya kwake matatizo tu asee…
  7. MulRZGM

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    ..siyo "kwa kima cha chini", ni "ikiwemo kima cha chini" ...someni vzur, msipotoshe ...
  8. MulRZGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

    Ila we jaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. MulRZGM

    JamiiForums Tanzania Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    ...dahh pole mwana
  10. MulRZGM

    JamiiForums Tanzania Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Big up ... komaa tu ndugu na kwa style iyo milango mingine ambayo hata haukuitaraji lazima itafunguka na kuna siku uliyoyapitia utakujaga kuyasahau na kujishangaa utakapofikia ... amini hili
  11. MulRZGM

    JamiiForums Tanzania Familia inateseka sana. Nisaidieni natafuta Kazi, Kibarua

    Pole sana kaka .... Mungu ni mwema na nina iman atatenda miujiza ktk hili, kikubwa tuzid kueka imani kwake ... pole ndugu
  12. MulRZGM

    JamiiForums Tanzania Inakuaje IGP Sirro anamwalimsha Waziri aongee kwa niaba yake? Kweli IGP yupo juu Waziri?.

    Yupo sahh ... pale yupo na mkuu wake hivyo hawez kuzungumza lolote au pengine mpk apewe ruhusa na mkuu wake ndo atazungumza ...acheni kukariri, UMBWA!!!
  13. MulRZGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

    Blaza bnadam hatuaminiki, fahamu kama ulikua ufahamu... kitendo cha wew kutokuona msg za malovee kwny simu ya mpnz wako haimaanish uyo kwako anafaa... mbinu za kucheat zipo nyng sana na we mwnyw unazijua mana ni cheater vile vile .... rai yangu kwako: ishi vile unavoona ni sahh kwako ktk maisha...
Back
Top Bottom