Inakuaje IGP Sirro anamwalimsha Waziri aongee kwa niaba yake? Kweli IGP yupo juu Waziri?.

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,014
8,364
Chanzo clouds Tv nawaangalia hapa habari yao ya pili leo inahusu Mauaji ya mfanyabiashara ya madini, wanahabari wamemfuata azungumzie tukio hilo ambalo linaonekana waliosababisha Mauaji ni polisi, yeye anasema aulizwe Waziri wake. Kisa yupo nae kwenye ziara mkoani Mtwara.

Hivi IGP enzi hizo za utawala wa Magu angeweza kumjibu mwanahabari hivyo?

IGP amechoka apunzishwe.
 
Chanzo clouds Tv nawaangalia hapa habari Yao ya pili leo inahusu Mauaji ya mfanya biashara ya madini wanahabari wamemfata azungumzie tukio ilo ambalo linaonekana walio sababisha Mauaji ni polisi wanamfata azungumzie tukio ilo yeye anasema aulizwe Waziri wake. Kisa yupo nae kwenye ziara mkoani mtwara hivi IGP enzi hizo za utawala wa Magu angeweza kumjibu mwanahabari hivyo?
IGP amechoka apunzishwe.
Yuko sahihi waziri ni bosi wa IGP
 
Chanzo clouds Tv nawaangalia hapa habari yao ya pili leo inahusu Mauaji ya mfanyabiashara ya madini, wanahabari wamemfuata azungumzie tukio hilo ambalo linaonekana waliosababisha Mauaji ni polisi, yeye anasema aulizwe Waziri wake. Kisa yupo nae kwenye ziara mkoani Mtwara.

Hivi IGP enzi hizo za utawala wa Magu angeweza kumjibu mwanahabari hivyo?

IGP amechoka apunzishwe.
Anakaribia kustaafu huyo kwanza
 
Chanzo clouds Tv nawaangalia hapa habari yao ya pili leo inahusu Mauaji ya mfanyabiashara ya madini, wanahabari wamemfuata azungumzie tukio hilo ambalo linaonekana waliosababisha Mauaji ni polisi, yeye anasema aulizwe Waziri wake. Kisa yupo nae kwenye ziara mkoani Mtwara...
Siro hana tofauti na lusinde,ndio IGP wa hovyo kuwahi kutokea tanzania
 
Chanzo clouds Tv nawaangalia hapa habari yao ya pili leo inahusu Mauaji ya mfanyabiashara ya madini, wanahabari wamemfuata azungumzie tukio hilo ambalo linaonekana waliosababisha Mauaji ni polisi, yeye anasema aulizwe Waziri wake. Kisa yupo nae kwenye ziara mkoani Mtwara...
Yuko sahihi kwamba Waziri ndio msemaji kwa wakati huo.

Ila huyu RPC simkubali,huyu anatetea Sana uovu wa polisi..Yule mkata vouno alimuweza.Rais fukuza huyu Siro.
 
Yupo sahh ... pale yupo na mkuu wake hivyo hawez kuzungumza lolote au pengine mpk apewe ruhusa na mkuu wake ndo atazungumza ...acheni kukariri, UMBWA!!!
Polisi ndio wanatakiwa watoe habari za mwenendo wa kazi zao, sio wanasiasa.
 
Chanzo clouds Tv nawaangalia hapa habari yao ya pili leo inahusu Mauaji ya mfanyabiashara ya madini, wanahabari wamemfuata azungumzie tukio hilo ambalo linaonekana waliosababisha Mauaji ni polisi, yeye anasema aulizwe Waziri wake. Kisa yupo nae kwenye ziara mkoani Mtwara...
Ukiwa na boss wako huruhusiwi kuongea, otherwise hujasoma uongozi. Sioni sababu ya kupoteza nafasi ya JF kwa uzi wa kijinga
 
Hahah, kwa maana hiyo kuna "boss" anayeweza waambia polisi waache kufanya kazi yao kwa maelekezo ya boss wa boss wao au nimekuelewa vibaya kuwa polisi wana boss raia wakuwapangia atakayo boss wao na boss wake.
 
Back
Top Bottom