Recent content by mullay

  1. M

    Congo: Rais Kabila amfukuza kazi Mkuu wa Majeshi

    kinuke mara ngapi? hali si shwari kabisa.
  2. M

    Matokeo KIKWETE 2395 MANGULA 2397 DR SHEIN 2397 (ushindi 100%)

    sio 99.2% ila ni 99.92% aibu yake, yaani wenzio 100% ukute wamefanya makusudi kumdhalilisha.
  3. M

    Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    Upo sahihi kabisa ndugu yangu, uswis sasa hivi ni Tanzania, Tanzania.
  4. M

    Wananchi watelekezwa baada ya JK kuondoka Kijijini - Monduli

    Ila hawa binadamu huwa hawajifunzi kutoka kwa wenzao, utashangaa siku nyingine wanapanda tena na wanavyojua kushangilia.
  5. M

    Watanzania tumuombee Obama ashinde uchaguzi wa kesho

    Nashukuru sana kwa kunifanya nicheke siku ya leo.
  6. M

    Lowassa aenda Ujerumani kwa matibabu

    Ila huyu mzee kiboko, sijui anadhani akifa hizo hela atazikwa nazo.
  7. M

    Msanii atoa machozi kwa kurushwa kwa picha zake akiwa mtupu!

    Ila kweli, mpaka jf inamdiscuss.
  8. M

    Ray C: TID ndo alinifundisha kuvuta UNGA!

    kweli kila kitu kina mwanzo na mwisho ila wakati mwingine mwisho unakuwa mbaya. sitaki kuamini kama mwisho wa ray c ndio umekuwa hivi.
  9. M

    Rais wangu, Ahadi ni deni! Vipi Computer zetu kwa Shule za msingi zimefika wapi?

    huko mavyuoni tu hamna computer ndio ataweza kuleta huku chini? kwanza yeye mwenyewe alishasahau kama aliwahi kuongea kitu kama hicho.
  10. M

    BBC: Askofu Martin Shao wa Zanzibar atishiwa kifo; yadaiwa akimbia Zanzibar

    mmmh! umenigusa mpaka kwenye moyo.
  11. M

    Mbunge wa Arumeru Mashariki mh. Joshua Nasari ahamasisha wananchi kugomea Mwenge wa Uhuru

    kwanza kazi ya mwenge ni nini? wanakula hela vibaya, kuna walimu walifanya kazi ya kuwasha na kuzima mwenge ila hawajalipwa hela yao mpaka kesho, hela imeliwa juu kw juu.
  12. M

    Nini tafsiri ya polisi kumficha vile polis mwenzao muuaji?

    kwenye shangingi mimi ndipo waliponiacha hoi zaidi,hawa viongozi wetu sijui wanatuonaje!
  13. M

    Kwa hii picha nay wa mitego hakukosea.

    Mmmmh! haya bwana. mpaka unayeangalia hii picha unaona aibu.
  14. M

    "Ray" afumwa na mwanafunzi wakiwa uchi wa mnyama nyumbani kwake

    Hivi bado kuna watu wanaamini habari za haya magazeti ya rangi rangi! kweli wajinga ndio waliwao.
  15. M

    "CHADEMA Wamechakachua Picha"!

    M kutano wa jana ulikuwa balaa, yaani CDM wameiteka mpaka morogoro wakati nilikuwa najua utakuwa mkoa wa mwisho kwa mabadiliko, CCM mjiangalie upya mtaangukia pua.
Back
Top Bottom