Lowassa aenda Ujerumani kwa matibabu

Lowassa aenda Ujerumani kwa matibabu

Macho ndo yanamfanya atetemeke!

Alzheimer's disease (AD), also known in medical literature as Alzheimer disease, is the most common form of dementia. There is no cure for the disease, which worsens as it progresses, and eventually leads to death. Most often, AD is diagnosed in people over 65 years of age,[SUP][2][/SUP] although the less-prevalent early-onset Alzheimer's can occur much earlier.
Although Alzheimer's disease develops differently for every individual, there are many common symptoms.[SUP][4][/SUP] Early symptoms are often mistakenly thought to be 'age-related' concerns, or manifestations of stress.[SUP][5][/SUP] In the early stages, the most common symptom is difficulty in remembering recent events. When AD is suspected, the diagnosis is usually confirmed with tests that evaluate behaviour and thinking abilities, often followed by a brain scan if available.[SUP][6][/SUP] As the disease advances, symptoms can include confusion, irritability and aggression, mood swings, trouble with language, andlong-term memory loss. As the sufferer declines they often withdraw from family and society.[SUP][5][/SUP][SUP][7][/SUP] Gradually, bodily functions are lost, ultimately leading to death.[SUP][8][/SUP] Since the disease is different for each individual, predicting how it will affect the person is difficult. AD develops for an unknown and variable amount of time before becoming fully apparent, and it can progress undiagnosed for years. On average, the life expectancy following diagnosis is approximately seven years.[SUP][9][/SUP] Fewer than three percent of individuals live more than fourteen years after diagnosis.[SUP][10][/SUP]
 
Huyu baba an matatizo zaid ya tunavyofikiri.Kama mpaka alikwenda kwa tb joshua basi 2012 hafiki.
 
stroke imehamia machoni,too dangerous

huyu stevie wonder atakuaje mchapa kazi na ukipofu? hii siyo sanaa bali ni uongozi wa juu wenye mamlaka makubwa sana ya kifalme unahitaji kua ngangari na mzima wa afya ili dira yako ifanikiwe
 
Aende CCBRT? We unadhani ye ana uwezo mdogo wa kufikiri kiasi gan? Unakumbuka mwenyekiti wa chama chao alisema wazi hawaaminiani ata kuachiana glass za maji? Jinsi alivyotishio ndani ya chama wanatamani ajichanganye popote wamdhibiti maana kwa utaratibu wa kawaida imeshashindikana. Pia tatizo la macho sio kigezo za kushindwa kuongoza TZ, hamkumbuki kuna mwingine alikuwa anazimika zimika ghafla lkn mambo yameenda japo kiugumuugumu?

Unajidanganya wewe, hayuko salama huyo anaumwa tena anaumwa sana. Hapa juza kati jamaa yangu alipita karibu na kwake asubuhi akakutwa anafanyishwa mazoezi na alikuwa anatembea kama mtu aliye pooza.
 
Tunakuombea upone haraka maana bado tunakudai mengi na hujalipa kwa maana malipo huwa ni hapa hapa duniani.
 
Huyu mzee afya haimruhusu, atafia kwenye uongozi..Hela zote alizonazo anataka nini zaidi..awaache waliopata exposure ya hela ukubwani kina mmhhhh watuibie
 
Sikilizeni wana JF hakika watu tumemchukia sana huyu jamaa, lakini tujiulize kwanini aling'atuka???, jibu ni moja tuu aling'atuka ili sheria ichukue mkondo wake, maana angeng'ang'ania uwaziri mkuu ingewawia vigumu kumchukulia hatua, ila sasa kwanini mpaka leo serikali ya JK haijafanya hivyo???? Je wanamuogopa?? au hawana uthibitisho kuwa huyu jamaa amefisadi kweli??? Tujaribu kutafakari serikali ya JK ilivyo na sifa ingekuwa na uthibitisho wangemwacha??? ss kutokana na kushindwa kumchukulia hatua mpaka leo, natangaza rasmi kwa wana JF wote kuwa EL si fisadi na kwasababu hiyo nampa ushindi wa kishindo 2015, mtake msitake huyo ndo Rais wenu mteule, bado tuu kuapishwa nawaonea huruma waliojilimbikizia mali kwa mgongo wa huyu jamaa, mpaka akawajibika kwasababu yao, maana kwao ushindi wa EL ni kiama, tena utasikia wengine watakimbilia ugaibuni na taarifa za vifo zitafata kama ilivyokuwa kwa Balali.
Maoni yangu EL ndo chaguo bora kwasasa, maana hawa viongozi masikini wakiingia tuu ikulu wanajisahau na kuanza kujilimbikizia mali ila EL tayari ni tajiri so sidhani kama atakuwa na wazo la kimaskini kichwani mwake.
Macho tuu Ujerumani alafu wala bunge halina taarifa unadhani anasubiria idhini ya bunge na vikodi vyenu vimtibu??? Hapo bado anatumia fedha za urithi wa bibi bado za babu aje za baba alafu za mama mwisho kabisa ndo aanze za kwake jamani miaka kumi si itakuwa ishapita wala itakuwa ajapata wazo la kuiba jamani ila hawa fisi pori wasio na mia lol maendeleo mtayasubiria sana.
 
Hata rikirudi inatosha ye nani tuna mnadi eti lowasa aenda Ujerumani kwa matibabu alienda Nyerere likarudi jina ndo itakuwa yeye achape lapa alizojimirikisha zinamtosha ngoja atangulie atuachie
 
Hata rikirudi jina inatosha ye nani tuna mnadi eti lowasa aenda Ujerumani kwa matibabu alienda Nyerere likarudi jina ndo itakuwa yeye achape lapa alizojimirikisha zinamtosha ngoja atangulie atuachie
 
Kwa nini asipumzike tu na hizi siasa? Mwishoni atafia kwenye ndege sasa japo hatuombei hilo🙄
 
Angekuwa na mali kiasi hicho asingekwiba Richmonduli, angekuwa hahusiki asingejiudhuru kwa ridhaa yake........! Kama angekuwa ni mtu wa kuridhika na mali, asingekuwamo katika kashfa nyingi kama za richomnd, kashfa za ujenzi wa jengo la vijana, kashfa ya Dawaso nk.......!

Sisi tunao mpigia debe tunafanya hivyo kwa ajili ya njaa zetu, tunaamini kwa mtaji anaowekeza ili kuupata urais anaweza kutukumbuka, pale atakapo anza kuchuma mali akiwa ikulu.

Yeyote anaetaka kwenda ikulu, na huku vipesa anavigawa.....huyo ni mtu wa kumuogopa kama ukoma.....kwanza kazipataje hizo hela....pili, atazirudishaje huko alipozitoa? Kwa ajili ya ulafi wake, IKULU ni firm nyingine ya ndoto zake kibiashara, sehemu yake ya kurivenji kwa mahasimu wake.
 
Urais 2015 ndio sababu pekee ya hii habari kupewe too much attention. It's undeserved and unfortunate to Tanzania.Normaly it should have been a mere private thing and should have been kept as such.

Nakala: Pasco wa JF - don't dramatize it plz

...Aina ya Viongozi tunaopata ndio kielelezo halisi cha sisi wenyewe. Huyu alipata kuwa Waziri Mkuu wetu na aliacha kwa sababu zisizo njema sana. Huyu ni mtu ambaye habari zisizo rasmi zinasema kuwa anajiandaa kuwa raisi wa Tanzania come 2015,
Halafu wewe bado unaona kuwa Afya yake kujadiliwa hapa ni ku-dramatize jambo ambalo lilipaswa kuwa private!! really. Comrade??
Tungoje hadi aingie kwenye Ikulu yetu na Pengine kuanza kututia damage kwa misafara ya kucheki macho Ujerumani ndio tuanze kuijadili??
Wacha watu wajadili. Ukiishakuwa kuwa Public Figure Privacy yako inakuwa ndogo mno na U-public figure wenyewe unapohusu kuchukua Ofisi za Umma, U-privacy wako unakuwa almost nil, zilch, Zero,!
 
Sikilizeni wana JF hakika watu tumemchukia sana huyu jamaa, lakini tujiulize kwanini aling'atuka???, jibu ni moja tuu aling'atuka ili sheria ichukue mkondo wake, maana angeng'ang'ania uwaziri mkuu ingewawia vigumu kumchukulia hatua, ila sasa kwanini mpaka leo serikali ya JK haijafanya hivyo???? Je wanamuogopa?? au hawana uthibitisho kuwa huyu jamaa amefisadi kweli??? Tujaribu kutafakari serikali ya JK ilivyo na sifa ingekuwa na uthibitisho wangemwacha??? ss kutokana na kushindwa kumchukulia hatua mpaka leo, natangaza rasmi kwa wana JF wote kuwa EL si fisadi na kwasababu hiyo nampa ushindi wa kishindo 2015, mtake msitake huyo ndo Rais wenu mteule, bado tuu kuapishwa nawaonea huruma waliojilimbikizia mali kwa mgongo wa huyu jamaa, mpaka akawajibika kwasababu yao, maana kwao ushindi wa EL ni kiama, tena utasikia wengine watakimbilia ugaibuni na taarifa za vifo zitafata kama ilivyokuwa kwa Balali.
Maoni yangu EL ndo chaguo bora kwasasa, maana hawa viongozi masikini wakiingia tuu ikulu wanajisahau na kuanza kujilimbikizia mali ila EL tayari ni tajiri so sidhani kama atakuwa na wazo la kimaskini kichwani mwake.
Macho tuu Ujerumani alafu wala bunge halina taarifa unadhani anasubiria idhini ya bunge na vikodi vyenu vimtibu??? Hapo bado anatumia fedha za urithi wa bibi bado za babu aje za baba alafu za mama mwisho kabisa ndo aanze za kwake jamani miaka kumi si itakuwa ishapita wala itakuwa ajapata wazo la kuiba jamani ila hawa fisi pori wasio na mia lol maendeleo mtayasubiria sana.

...Mkuu, tuepuke sana kujidhalilisha kwa sababu tu ya Mahaba tuliyo nayo kwa Mtu na pengine Njaa zetu. Ni Ujinga Uliopitiliza Kuwaza kuwa Miongoni mwa Watanzania Zaidi ya 35 MILIONI waliopo hatuna Busara, Akili, Utashi, Uwezo na Nini tena Sijui wa Kuweza kuona na Kuchagua Mtu ambaye atatuongoza Kweli angalau Kusogelea tu Nchi ya Ahadi Bila Mtu huyo kuwa Miongoni mwa Sura ambazo tunaziona kisiasa kuanzia tulipopata Uhuru Miaka 50 Iliyopita ambaye Pia kutokana na Kuwa atatoka humo humo CheCheMea,hakuna Jipya Lolote atakalo kuja nalo zaidi ya Kuoneana aibu, Kulindana, Kurejesha Mtaji aliotumia Kusaka Uraisi, Kuuza maliasili zetu kwa Mikataba ya Kishikaji nk nk nk...!
TUSUMBUENI AKILI ZETU KIDOGO TU ILI KUJITOA HAPA TULIPO! Hivi Hatujifunzi Tu????

Mbona wengine wakienda kutibiwa hatupati taarifa au ndiyo kusema kwa sababu alikuwa Waziri Mkuu au hayo makundi yanayotajwa ndani ya ccm. Binafsi sijawahi kuona kikwete na lowasa wakipishana, haya maneno hawaelewani yanatoka wapi? NAOMBA MUNGU WA HURUMA AMTANGULIE HUYU MHE. KWENYE MATIBABU YAKE HUKO UDACHI.
 
...Mkuu, tuepuke sana kujidhalilisha kwa sababu tu ya Mahaba tuliyo nayo kwa Mtu na pengine Njaa zetu. Ni Ujinga Uliopitiliza Kuwaza kuwa Miongoni mwa Watanzania Zaidi ya 35 MILIONI waliopo hatuna Busara, Akili, Utashi, Uwezo na Nini tena Sijui wa Kuweza kuona na Kuchagua Mtu ambaye atatuongoza Kweli angalau Kusogelea tu Nchi ya Ahadi Bila Mtu huyo kuwa Miongoni mwa Sura ambazo tunaziona kisiasa kuanzia tulipopata Uhuru Miaka 50 Iliyopita ambaye Pia kutokana na Kuwa atatoka humo humo CheCheMea,hakuna Jipya Lolote atakalo kuja nalo zaidi ya Kuoneana aibu, Kulindana, Kurejesha Mtaji aliotumia Kusaka Uraisi, Kuuza maliasili zetu kwa Mikataba ya Kishikaji nk nk nk...!
TUSUMBUENI AKILI ZETU KIDOGO TU ILI KUJITOA HAPA TULIPO! Hivi Hatujifunzi Tu????

Tunajifunza shida ww hujui rafu zinazochezwaga na hawa jamaa ww kwani 2010 JK alishinda??? ehee ilikuwaje unajua.
Naposema EL achukue nina maana yangu kwanza najua anahasira ya kurudisha heshima yake inayotaka potea ukilinganisha na miaka yote aliyo itumikia serikali yake.
xo kwangu mm najua ndo maana naongea, yapo mabaya ya EL ila sio la Dowans hilo wamemtwisha tuu ndo maana serikali haina lakusema
 
Ila huyu mzee kiboko, sijui anadhani akifa hizo hela atazikwa nazo.
 
Back
Top Bottom