"Ray" afumwa na mwanafunzi wakiwa uchi wa mnyama nyumbani kwake

washwa washwa

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
1,613
717

Hivi jamani aliyesema kuoa ni dhambi ni nani?......Ni vyema tukakumbuka kuwa aliyeanzisha suala la kuoana hakuwa mjinga........

Imekuwa ni jambo la kawaida kwa wasani maarufu kuwadanganya watoto wadogo kupitia umaarufu wao na hatimaye kuwatumia kimapenzi kwa manufaa yao binafsi........

Alianza kanumba na Lulu.....Ni ukweli usiopingika kuwa Lulu na Kanumba zilikuwa AGE mbili ambazo haziendani kabisa.Kanumba amchukua yule binti na wenzake kwa lengo la kumsaidia na kuimarisha kipaji chake...

Matokeo yake akamgeuza kuwa mpenzi wake, akamharibia ndoto zake za maisha, na hatimaye leo hii ananyea ndoo Rumande.......Hii ni dhambi.

Leo hii tunaona RAY naye bado anaendekeza uchafu ule ule.....

NADHANI ANATAFUTA KIFO.NASEMA HIVYO KWA SABABU YALIYO MKUTA STEVEN KANUMBA NI FUNDISHO TOSHA KWA WASANII WA HAPA NCHINI
 
Usihadaike mkuu,hii kitu sio kweli mtu hafumaniwi na mtoto wa shule akapozi namna hiyo kwa picha.hii habari aliitoa shigongo no doubt ni katika mwendelezo wa kutafutiza visa auze magazeti yake penginepo ni kwa makubaliano yao na ray mwenyewe
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja..siwezi kushangaa nikisikia Ray nae ndo mchezo wake..
 
Nadhani kwa uelewa wangu hiyo habari na picha ray na huyo mchuchu wameamua kufanya kwa makubaliano maalumu yenye ujira maalumu. Si unaona hilo pozi nalo ni maalumu? Au unajifanya hujui pozi la fumanizi lilivyo na umaalumu wake? No sex intercoz there.
 
Hivi jamani aliyesema kuoa ni dhambi ni nani?......Ni vyema tukakumbuka kuwa aliyeanzisha suala la kuoana hakuwa mjinga........

Imekuwa ni jambo la kawaida kwa wasani maarufu kuwadanganya watoto wadogo kupitia umaarufu wao na hatimaye kuwatumia kimapenzi kwa manufaa yao binafsi........

Alianza kanumba na Lulu.....Ni ukweli usiopingika kuwa Lulu na Kanumba zilikuwa AGE mbili ambazo haziendani kabisa.Kanumba amchukua yule binti na wenzake kwa lengo la kumsaidia na kuimarisha kipaji chake...

Matokeo yake akamgeuza kuwa mpenzi wake, akamharibia ndoto zake za maisha, na hatimaye leo hii ananyea ndoo Rumande.......Hii ni dhambi.

Leo hii tunaona RAY naye bado anaendekeza uchafu ule ule.....

NADHANI ANATAFUTA KIFO.NASEMA HIVYO KWA SABABU YALIYO MKUTA STEVEN KANUMBA NI FUNDISHO TOSHA KWA WASANII WA HAPA NCHINI
Haina tatizo hii itakuwa ni kwenye movie yake mpya kama ilivyokuwa kwa Lulu
 
Hivi bado kuna watu wanaamini habari za haya magazeti ya rangi rangi! kweli wajinga ndio waliwao.
 
Huu unaochangia sio umbeya?au wa shigongo sawa ila wa sud brown uende fb!!what a shame

kheee,we dogo umeshafanya homework?yani umenitafuta kote kusaka comment zangu,lol...sasa bwana mdogo nyaumbu si upeleke umbea wako kule kwani hk jf hauna mashiko na ndo mana hakuna anayeupapatikia,unajaza server zetu bureee.
 
Hivi jamani aliyesema kuoa ni dhambi ni nani?......Ni vyema tukakumbuka kuwa aliyeanzisha suala la kuoana hakuwa mjinga........

Imekuwa ni jambo la kawaida kwa wasani maarufu kuwadanganya watoto wadogo kupitia umaarufu wao na hatimaye kuwatumia kimapenzi kwa manufaa yao binafsi........

Alianza kanumba na Lulu.....Ni ukweli usiopingika kuwa Lulu na Kanumba zilikuwa AGE mbili ambazo haziendani kabisa.Kanumba amchukua yule binti na wenzake kwa lengo la kumsaidia na kuimarisha kipaji chake...

Matokeo yake akamgeuza kuwa mpenzi wake, akamharibia ndoto zake za maisha, na hatimaye leo hii ananyea ndoo Rumande.......Hii ni dhambi.

Leo hii tunaona RAY naye bado anaendekeza uchafu ule ule.....

NADHANI ANATAFUTA KIFO.NASEMA HIVYO KWA SABABU YALIYO MKUTA STEVEN KANUMBA NI FUNDISHO TOSHA KWA WASANII WA HAPA NCHINI
safi sana hii, inaonekana umtaalam wa literature.
 
Back
Top Bottom