Kama umeme wa REA ungekuwa umeenea kama wanavyosema basi makampuni mengi yanayouza umeme an vifaa vya solar yangeshafunga virago lakini hali ni tofauti
SA unaweka Dolla Hetelini asubuhi wankurudishia Rand, nilikuta huo mtiti siku moja (zamani kidogo kama 2012) mteja aliogopa kulala ya dola zake akaamua akabidhi kwa usalama zaidi asubuhi anazidai anapewa Rand palikuwa padogo. sijui kama utaratibu huu bado unaendelea
Mkuu MKIRU kumetulia au kwa sababu hatupati taarifa za kujitegemea toka huko? maana hatujui Azory alikuwa na taarifa gani ambazo zingetupa hali ilivyo huko
Ndo maana Biblia inatakiwa isomomwe kama inavyotakiwa na sio kuleta mstari mmoja ili kupotosha. soma mstari wa Biblia then fuatilia unakupeleka wapi. sio kuchukua verse moja na kukimbia nayo .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.