Tusipotoshe, ukweli ni kwamba Samia Suluhu ni Rais wa Kikatiba na si Rais wa kuchaguliwa

Umesema kweli tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu.. haiwezekani mtu anaamka asubuhi na chuki chuki zake anakuja kuandika ujinga hapa jukwaani. Dunia nzima wakiwepo mabeberu na hao wajinga waliomtuma kuandika huu uharo hapa wanajua fika kuwa Tanzania ina raisi, amiri jeshi na mkuu wa nchi mmoja tu, nae ni Samia Suluhu Hassani. Haijalishi uraisi wake kaupata kwa kura au vinginevyo, kikubwa katiba imezingatiwa na dunia inamtambua. Sasa kama haitaji kuongozwa na huyu raisi aende kwa Lisu wakatengeneze serikali yao huko belgium.
 
Samia ni Rais hutaki jinyonge mkuu
Nikikumbuka Lowasa alivyojiandaa kuwa Rais wakati Samia umemdondokea.

D2A04F8D-0B24-4F23-94FA-624C5DE173BB.jpeg
 
Ni ujinga kunilazimisha eti Samia ni Rais wa kupigiwa kura!

Samia alikuwa msaidizi wa Hayati Magufuli ambaye ndiye aliyepigiwa kura za Watanzania kuwa Rais.

Lakini baada ya kifo cha Magufuli kikatiba makamu wake ndiye aliyepaswa kuwa mkuu wa Nchi. IELEWEKE,NI KWA MUJIBU WA KATIBA na si kwa MUJIBU WA WAPIGA KURA.

Kwa muktadha huo si sahihi kusema Samia ni Rais aliyepigiwa kura bali ni Rais ALIYEPO MADARAKANI KWA MUJIBU WA KATIBA na huo ndiyo ukweli.
Kwahiyo 2025 mchakato wa kupata mgombea Uraisi kupitia CCM utakuwepo na atshindanishwa na watia nia wengine?
 
Mtoa hoja kwa namna nyingine umetuhabarisha jambo ambalo wengine hatukulijua kwamba kuna Rais wa kikatiba na Rais aliyechaguliwa na wananchi. hili naungana na wewe asimilia mia.

Sababu yeye hakujiombea kura bali alikuwa anapita kumwombea mwenziwe.
 
Katiba yetu iko wazi kuhusu namna ya kumpata Raisi. Mama Samia ni Raisi legitimate zaidi kuliko hao walioupata kwa kuiba kura. Tuko na mama
 
Ni ujinga kunilazimisha eti Samia ni Rais wa kupigiwa kura!

Samia alikuwa msaidizi wa Hayati Magufuli ambaye ndiye aliyepigiwa kura za Watanzania kuwa Rais.

Lakini baada ya kifo cha Magufuli kikatiba makamu wake ndiye aliyepaswa kuwa mkuu wa Nchi. IELEWEKE,NI KWA MUJIBU WA KATIBA na si kwa MUJIBU WA WAPIGA KURA.

Kwa muktadha huo si sahihi kusema Samia ni Rais aliyepigiwa kura bali ni Rais ALIYEPO MADARAKANI KWA MUJIBU WA KATIBA na huo ndiyo ukweli.
Awe wa kikatiba au wa kuchaguliwa au wa kuteuliwa ,Samia ndio Rais stori zenu zingine hazitawasaidia.
 
Back
Top Bottom