Recent content by MUJARABU

  1. M

    Tatizo CHADEMA ni zaidi ya 'Kadi' ya Dkt. Slaa

    ......hapa ni maji yamezidi unga au ni unga umezidi maji.......kazi ya kichwa sio kufuga nywele tu...........
  2. M

    Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

    ...............hapa ni maji yamezidi unga au unga umezidi maji...............
  3. M

    Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    ...mwanaume mzima unatangazia umma kuwa unamuogopa mwanaume mwezio...mambo ya ajabu sanaaaa....nyambafu kabisa..
  4. M

    Slaa amshangaa Kinana

    .........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...
  5. M

    Hongera MNYIKA Kwa kitendo Cha kunywa kahawa na kucheza bao ktk vijiwe Vya Manzese.

    we cheza bao,kunywa kahawa , piga porojo vijiweni na bungeni pia lakini Ubungo haina maji....we shall remember you in October.......
  6. M

    Hongera MNYIKA Kwa kitendo Cha kunywa kahawa na kucheza bao ktk vijiwe Vya Manzese.

    ...ANYWE KAHAWA, ACHEZE BAO LAKINI UBUNGO HAKUNA MAJI MWAKA 2015....... ATAJINYA.......ATAJIBEBA......,we piga kahawa,piga bao piga porojo, we shall remember you in october....
  7. M

    PICHA: Ziara ya Kinana Mtwara yafana

    ...........bravo Kinana, we shall remember in October......
  8. M

    Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

    ..........Kazi ya kichwa sio kufuga nywele tu...........Mushi, Kimario,Mushi, Kimario, Temba, Massawe, Kimambo,Urio, Tarimo...........bado tu hamjaelewa.........kweli kazi ipo....(kweli nyerere alisema tuangalie mikoa hii)
  9. M

    Mhe. Freeman Mbowe amesahau maneno yake haya ya mwaka 2010.

    WHO IS mbowe? wa-tanzania tunasumbuliwa na ujinga ujinga?
  10. M

    Shaban mlacha ni nani udom!!??

    ..........Yote haya atasemwa lakini ukitafuta a Real story, huwezi kuelezea mafanikio ya UDOM bila kumtaja Profesa Mlacha, ana shule ya Sekondari sawa, lakini ungetegemea mtu ambaye ni profesa ashindwe kuwa na shule ya kusaidia wanafunzi wa tanzania au kwa vile tumezoea ma-profesa wetu kusinzia...
  11. M

    ONYO: mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kwa mtindo huu vijana wa Arusha tutakufukuza kwetu...........!!!!!!!

    .....kazi ya kichwa sio kufuga nywele tu.............tangazeni jamuhuri ya watu wa arusha halafu nasari awe raisi wenu na lema awe waziri mkuu muone mtakavyoendelea......hahahahaha......
  12. M

    Mzee Edwin Mtei alimuomba Nyerere kujiunga na CHADEMA

    ............kama imefikia sehemu mwanaume hafanyi maamuzi mpaka amuombe mwanaume mwenzake, basi ujue tunaelekea kubaya.............tanzania inasumbuliwa na akili za wafu.............mizimu ya kishetani....
  13. M

    Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    .......hata kama anataka uraisi lakini ubungo hakuna maji..................narudia tena atajinya...2015
  14. M

    Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

    ......Tafadhali weka CV zao kwanza ndiyo tuendelee na mjadala...unaweza ukakuta wengine hapa wana Phd za KIPAIMARA....
  15. M

    Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    ..........Rais dhaifu sawa, muongozo wa spika sawa, EPA sawa, Taarifa SPIKA sawa,sifuti kauli sawa......lakini Ubungo hakuna maji........... 2015 ATAJINYA....
Back
Top Bottom