Mzee Edwin Mtei alimuomba Nyerere kujiunga na CHADEMA

Mzee Edwin Mtei alimuomba Nyerere kujiunga na CHADEMA

Lol!!kweli ubinadamu kazi kweli kweli yaani kuna tofauti gani kati ya Nyerere na wananchi wengine kwani yeye Nyerere alikuwa hapigi mswaki kama sie tufanyavyo au alikuwa hajambi kama wewe,ama kweli wahenga walisema mjinga hajitambui.Kumbuka kuwa Rais wa nchi hii ni dhamana tu lakini we're the same hata wewe unaweza kupata dhamana kama hiyo.There's no special one in Politics/Presedintial only ''Jesus is the special One''!!

kwa hiyo hukubali kuwa alikuwa baba wa taifa?
 
hao mawaziri wanapalilia unga tena watapaza sauti kuhakikisha mheshimiwaa anasikia

Mawaziri hao ni pamoja na yule aliyewaambia madiplomat eti Tanzania inatokana na muungano wa visiwa wa Zimbabwe na Pemba? What a shame!
 
Lol!!kweli ubinadamu kazi kweli kweli yaani kuna tofauti gani kati ya Nyerere na wananchi wengine kwani yeye Nyerere alikuwa hapigi mswaki kama sie tufanyavyo au alikuwa hajambi kama wewe,ama kweli wahenga walisema mjinga hajitambui.Kumbuka kuwa Rais wa nchi hii ni dhamana tu lakini we're the same hata wewe unaweza kupata dhamana kama hiyo.There's no special one in Politics/Presedintial only ''Jesus is the special One''!!

Nimeamini kweli kuna watu vilaza humu Jf!!
Kwa hiyo kwa kuwa wewe unajamba au unapiga mswaki kama Nyerere ndio mnakuwa sawa?
Hata ng'ombe au mbwa anatembea,anakunya,anazaa nk kama wewe lakini kamwe hicho si kigezo cha kumlinganisha na binadamu!!
Eliah G Kamwela says sorry for this very kilazaful post!!
 
kuna uwezekano hayati baba wa taifa alikubaliana na ombi la mzee Edwin Mtei
 
Last edited by a moderator:
wewe umefanya nini hadi ujilinganishe na nyerere? Jk sote ni mashuhuda kafanya mambo wengi, wewe hata kupeleka kipamde cha sabuni nyumbani tabu.
jk gani unamzungumzia
 
nimeamini kweli kuna watu vilaza humu jf!!
Kwa hiyo kwa kuwa wewe unajamba au unapiga mswaki kama nyerere ndio mnakuwa sawa?
Hata ng'ombe au mbwa anatembea,anakunya,anazaa nk kama wewe lakini kamwe hicho si kigezo cha kumlinganisha na binadamu!!
Eliah g kamwela says sorry for this very kilazaful post!!
elia toka uingie jf tar3 october,umepost mara 3126 ila zote pumba kasoro leo, kweli we litanzania halisi
 
............kama imefikia sehemu mwanaume hafanyi maamuzi mpaka amuombe mwanaume mwenzake, basi ujue tunaelekea kubaya.............tanzania inasumbuliwa na akili za wafu.............mizimu ya kishetani....
 
Kumbuka kwakba Mwealimu alishakisifu Chadema kwamba ni chama makini na kikiendelea hivyo ipo siku nayo yaja itachukua Nchi hii!
 
Kumbuka kwakba Mwealimu alishakisifu Chadema kwamba ni chama makini na kikiendelea hivyo ipo siku nayo yaja itachukua Nchi hii!

Mwalimu huyo huyo alisema kua kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM.
 
Nyerere alifanya nini zaidi ya kuiwacha nchi maskini wa mwisho duniani?

Zomba. You can not square the cirle at no time in real life. Kwa hiyo wewe siku zote umeghubikwa na Nyererephobia and undoubtedly you are culprit of the pholisophy that injected unto indistiputable complexity of mental dependence. Lakini kwa wale ambao sio cynic Nyerere remains to be a titanic and not an angle. Alichokifanya kilikuwa na purpose lakini unayelazimisha to overshine Nyerere lacks the purpose and at no time in his tenure has he ever proved to have a purpose, carry it or execute it. He responds to events without measuring the longterm aftermath. Lakini kila mtu hakosi cha kujivunia walau national debt has piled up from 7 til to about 20 bil. Try to be critical and critique and respond based on stylistics and semantics Tanzania ilikuwa ya mwisho kwa umaskini eh? Too prejudiced comment not backed by any unbiased, reliable research
 
Mwalimu huyo huyo alisema kua kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM.

Don't justify your stereotype and value judgement by misinterpreting Nyerere. Alikuwa anaongea kutegemea wakati na nyakati. What were the prevailing circumstances that made the great man to say. Mwalimu wansn't intellectual zombie to make such conclusion. Alisema kwa wakati huo 1995 basi. Hakuna aliposema mara zote na wakati wote rais bora atatoka CCM. Kulazimisha hivyo ni kumtoa Mwalimu katika status ya binadamu na kumfanya Mungu ambaye hakosei wala hatakosea.
 
Mkuu Bigaraone: Mwalimu hakua mtu wa kawaida kama unavyofikiria wewe.
 
Hakuna cha ajabu hapo, Nyerere binadamu kama wewe.

teh teh..watu wanaposainisha akina Drogba,Ronaldo na Messi halafu akitoke kichwa maji akisema kuwa kwanini cha ajabu nao ni binadamu kama wewe ktk game inayohitaji ushindi basia takuwa mwehu na kakata tamaa.

Mtei alifaulu hata kama mwalimu alimpa muda wa kufikiria au kuwaanda watanzania,kwani mwalimu ali endorse CDM.Unadhani itakuweje Mourinyo akisema Messi ni mchezaji kiboko itasababisha nini ktk kura za mchezaji bora?wakati huo ukumbuke Ronaldo anapambana kama EL na CCM?

Hata players huwa wanapenda mpush mwanamume minga aseme kitu mbele ya mtu wa jinsia ya kike.Believe me unapotamka neno kuhus mwanamume mwingine mbele ya mkeo, mfanya mazi mwenzio, dadako, hata mzazi wa kike kwa satili iliyo noticeable, weather unatukana, unamsema vibaya au hata kumsifia.Somewhere utakuwa umeamsha udadisi wa mwanamke sana.Na unaweza mfanya ajikute akitamani sana kuwa naye kwa muda.

Mtei alishinda alichohitaji ni endorsement na aliipata kabla mwalimu hajafa,sasa CCm wanafikri mara mbili kuweka reference za mwl wakitaka sema kibaya kuhusu CDM.N akam wamimu angeuwa hai basi mtei angeweza fanya historical transfer deal na Mwl.
 
Waarabu tuna usemi kuwa ''UONGOZI UNAANZIA KWENYE FAMILIA YAKO'' ( kwa maana Mke/wake na watoto wako). Na kila mtu ataulizwa kile alichokiongoza alikiongoza vipi? Kwani kila mtu ni kiongozi.

Sasa mnapomjadili Nyerere muanzie kwanza katika Familia yake. Angalieni Mke na watoto wake wana maadili gani? wamesoma kiasi gani? wana busara gani? na mengine mengi.

Na kama mtagundua alifauli kulea, kusomesha watoto wake vizuri basi ataweza kuifanyia nchi mazuri.

Lakin kwa Wachumi tunasema Nyerere alifeli sana na alibomoa vibaya sana uchumi wa Tz ulioachwa na wakoloni. yeye alijikita kujijenga kisiasa. Shida na taabu zooote mnazopata waTz kiuchumi ni sababu ya Nyerere kujenga miundombinu mibovu a uchumi wenu.

Kijumla tunasema alisifika kisiasa lakin aliua uchumi wenu.
 
Back
Top Bottom