Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

Status
Not open for further replies.
Ama kweli hii ni chaga development manifesto. Huu ukabila ni rushwa mbaya sana kuliko hata kusaliti upadiri
 
Kumekuwa na vijiba vya roho na juhudi za kuwahadaa watanzania kuhusu ccm. Yawezekana kuna kasoro za kibinadamu ndani ya ccm, lakini haiingii akilini mambo yote ambayo watu wanaipakazia ccm. Rushwa sawa lakini chama gani hakina rushwa?? Hau hatufahamu tafsiri ya rushwa?? Kuna vyama ukiangalia nusu ya viongozi wao ni ndugu tena wa kuzaliwa, wengine wako na wake zao tena wawili kwenye uongozi wa juu katika vyama, wengine wako na dadad zao, asilimia 60 ya wabunge ni wa kutoka eneo moja la nchi. Sasa hii ni sababu hatutaiangusha ccm. Hiki ni chama pekee kilichoanzishwa na watanzania kwajili ya tanzania. Vingine vyote vilianza kama miradi ya kifamilia na ukoo na mpaka leo vinafuata hizo roots. Ni kituko chama kutegemea tafu ya wakoloni tuliowafukuza hapa mwaka 1961 conservative au kujirafikisha na magaidi kama renamo. Ccm idumu na tutaifagilia mpaka utakapotokea mbadala rabda miaka 50 ijayo
 
WATU WATANZANIA wanamlaumu sana MWL JK kwamba aliminya uhuru wa mawazo wakati wa utawala wake; kumbe aliona MBALI, kwamba ukiwaruhusu hawa WASWAHILI kusema wao WATABWABWAJA UJINGA kama huu wa KIBAGUZI na kubomoa nchi: LETENI HOJA JAMANI
 
Mods mnafanya makusudi? au ndo TAKRIMA za Mangula zimeingia mfukoni mwenu, hii haina ukweli wowote
 
ha!ha! magamba mnawasha halafu hamna wa kuwakuna,mi ni kiongozi CDM tawi la SAUT MWANZA,me mtu wa kigoma .mwenyekiti msukuma,mwenezi Muhaya,mwenyekiti BAVICHA na naibu wake WASUKUMA,Mwenyekiti BAWACHA mtu wa mbeya makamu Songea,naibu katibu MORO, na matawi yote hakuna ukabila,jipange.

Acha kupotosha.,acha viongozi wa CHADEMA waje walitolee maelezo hili wao wenyewe, maelezo ya Uhakika kwa maana hawa watajwa wote ni viongozi wa chadema katika vyuo husika.,na baadhi yao ni watumiaji wa JF wanaweza kuja kujibu wenyewe kwanini majina yao yanatoa ishara ya kuwa wao ni wa kabila fulani, je ni kweli kuwa wao ni wa kabila hilo ama majina tu..?
 
Hehee hiki ndicho ccm walichoshinda wanalia leo kule twita kuwa jf ni ya chadema baada ya kuuleta UZUSHI huu na kwa hekima Mods wakaipumzisha!

Narudia ndugu zangu wanaccm, maada za kipuuzi mtazikuta chitichati huko!
 
Mleta mada hii ni mgonjwa wa akili. nadhani atakuwa ametokea MIREMBE Dodoma.
 
umeona shost eee?
Mimi penda chadema ila kwa hili mmenishtua
nahisi nitahamia CHAUMA

Sasa naamini kuwa CHADEMA ina baadhi ya wanachama/mashabiki mbumbumbu, hajui kafata nini CDM, umejirishisha na propaganda hii?
 
Wakuu tusiwe wepesi kukubali kuburuzwa kwenye fikra za ukabila kiasi hicho! Pengine hao kina Massawe na Mushi ndo wengi kwenye Vyuo vya Elimu ya juu! Au pengine ndio walioonyesha ukereketwa wa kupigania mabadiliko kwenye Jamii na hivyo kuwa vivutio wanapoingia medani za siasa! Au pengine, au pengine nk nk! Je, hawa hawana haki ya kupigiwa kura za ndio kuwaongoza makamanda wenzao Vyuoni simply kwa sababu wana majina ya Massawe na Kimaro??? Tafakari!!
 
Sasa naamini kuwa CHADEMA ina baadhi ya wanachama/mashabiki mbumbumbu, hajui kafata nini CDM, umejirishisha na propaganda hii?

Acha kumuita mbumbu jenga hoja na muelimishe,na ikiwezekana waombe viongozi wa chadema members wa jf waweke majina yote ya hao viongozi!manake huu uzi ni wa muda mrefu sijaona mtu anakuja na kanusho reliable
 
..........Kazi ya kichwa sio kufuga nywele tu...........Mushi, Kimario,Mushi, Kimario, Temba, Massawe, Kimambo,Urio, Tarimo...........bado tu hamjaelewa.........kweli kazi ipo....(kweli nyerere alisema tuangalie mikoa hii)
 
Katika moja ya vitu ambavyo CHADEMA inatajwa sana ni juu ya upangaji wa safu zake za uongozi wa kukibeba na kukiendeleza chama hicho. Kama ilivyo kwa vyama vingine vya siasa hapa nchini CHADEMA nao wanapanga safu zao za uongozi katika sehemu mbalimbali nchini.,moja ya sehemu hizo ni uongozi katika matawi ya chama hicho katika vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu hapa nchini.

Hivi karibuni wamepanga safu za viongozi wao ambao watakisimamia chama hiko kwa kipindi cha miaka 5 ijayo. na safu ya Viongozi hao ni kama ifuatavyo;

(i) University of Dodoma maarufu kama UDOM ni ELISANTE MUSHI.,
(ii) Chuo Kishiriki cha MWENGE ni JAMES KIMARO.
(iii) Sokoine University of Agriculture (SUA) ni JOHN KIMARIO.
(iv) Chuo Kishiriki cha DUCE ni ELIBARIKI MUSHI.
(v) Chuo Kikuu cha MZUMBE ni FRANCIS TAIRO.
(vi) Chuo cha Teknolojia Dar es salaam (DIT) ni ABSOLOM TEMBA.
(vii) Chuo kikuu Cha Mtakatifu Joseph (ST JOSEPH) ni JAMES URIO.
(viii) Chuo Kikuu kishiriki cha JURDAN UNIVERSITY ni ESTER MASAWE.
(ix) Chuo kikuu Cha Mtakatifu John (ST JOHN) ni GEORGE KIMAMBO.

Hawa ni baadhi tu ya viongozi katika safu mpya ya viongozi wa Chama Cha demokrasia na Maendeleo maarufu kama CHADEMA. Kwa majina tu ya viongozi hao mtu mwenye ufahamu wa watanzania na asili zao anaweza kung'amua mara moja kuwa Chama Hiki kimejikita katika Kukuza na kuimarisha Kabila fulani na kulipa nguvu katika uongozi wa Chama Hiko.

Hii inatafsiri nyingi lakini pia inasababu nyingi.,moja ya tafsiri ni kuwa watu wa kabila hili ndio pekee wenye kukipenda zaidi chama hiki hivyo hujitokeza kwa wingi kuwania nafasi za uongozi na hivyo kuwafanya wengi kuwa wao katika safu za uongozi wa chama hicho, lakini pia inawezekana kabisa kuwa ni sura ya UKABILA iliyopo katika chama hicho ndio inayowapa nguvu watu wa kabila la wachaga katika kuwania na kushinda nafasi mbalimbali na kuongoza chama hicho. Jambo ambalo kwa muda mrefu sasa limekuwa likitajwa na kupigiwa kelele.

Ama juu ya sababu ya hili ni kuwa, waanzilishi waasisi wa Chama walikijenga chama chao katika mtazamo wa kikabila na kikanda zaidi.,Dhana ya Unafsi ilitawala wakati wa uanzilishi wa chama hiki na hivyo kuwapa nafasi watoto wa waanzilishi na jamaa zao kuona kuwa chama hicho ni chao. Wakajitoa kukipigania na kukitetea.

Lakini kwa lugha yeyote.,tafsiri yeyote ama sababu yeyote utakayoitoa haiwezi kujustify mambo haya kupewa nafasi katika Taifa lenye misingi ya Ujamaa na uzalendo. Misingi ambayo inakinzana na namna yeyote ile ya upendeleo ama ubaguzi.

Kwa hili mnalolifanya CHADEMA vyuo vikuu mnakaa vipi kuwa chama hiki si chama cha kikabila na kidini..,TAFAKARI CHUKUA HATUA...!

CHADEMA HUU NI MUDA AMBAO TULITEGEMEA MJIPANGE VIZURI ILI WATANZANIA WAENDELEE KUWAAMINI NA KUONDOA UKAKASI KUWA CHADEMA NI CHAMA CHA KIKABILA(CHAGHAA), LAKINI KWA SAFU NZIMA YA VIONGOZI VYUO VIKUU VYOTE KUJAA AKINA KIMARO, MUSHI, TEMBA, MUNISI, URIO, KIMARO, MASSAWE, MLAY ETC.....MJUE KABISA WENGINE TUSIO NA VYAMA MNATUKATISHA TAMAA, HAPA TU BADO NI CHAMA PINZANI NDO MMJAZANA HIVO MKIKAMATA DOLA SI KILA TAASISI MTAWERKANA WENYEWE TUU, AMA KWELI NDO MAANA MNAITWA NGO YA WACHAGA, HAINGII AKILINI HETI NI HAO TUU NDO WENYE UWEZO KUONGOZA!!!!!!!!!SHAME ON YOU!!:sleepy:
 
Acha kumuita mbumbu jenga hoja na muelimishe,na ikiwezekana waombe viongozi wa chadema members wa jf waweke majina yote ya hao viongozi!manake huu uzi ni wa muda mrefu sijaona mtu anakuja na kanusho reliable

hakuna reliable criticism iliyotolewa mpaka sasa.,kuna kijana anaitwa makene amejaribu kuja na selected names na kuwaacha hawa waliotajwa bila kuwakana kuwa sio viongozi katika vyuo husika.,bado jambo hili linahitaji majibu sahihi...!
 
sisi wachaga tumesoma na tunabidii ktk kutafuta pesa na ndio maana tupo inchi mzima,watumishi wa serekali na wafanyabiashara wakubwa,hii haipingiki wala haitakiwi uvae miwani au uwashe tochi kujua hili au uende madrasa ukasome,mchaga mmoja ni sawa na makabila mengine arubaini kwa kuthibitisha sisi vichwa umewahi kusikia kuna maandamano au vurugu kilimanjaro ingawa kuna vyama mchanganyiko?kwa kujua maendeleo ya watu tunashirikiana na viongozi wa ccm{wabunge na madiwani} linapokuja suala la maendeleo ya watu kwetu tunaweka maslahi ya watu mbele vyama tunaweka pembeni,angalia mbunge wa rombo,angalia wa vunjo,anglia wa hai wanavyoifaglilioa serekali linapokuja suala la maslahi yetu,na ikulu mtabana mtaachia sasa ni wakati umefika, Nyerere alitubania,pesa tunazo,na shule tumekwenda.ukweli utabaki kuwa ukweli pamoja inauma!!!!!!!!!!!!!!!
 
Katika sehemu zote ambazo CHADEMA wamechemsha, katika chuo kikuu cha SAUT wamezidi kupotea vibaya, kwani safu yote pale ni hawa waheshimiwa wa midizini.,tena ni kwa sehemu zote.,BAVICHA na uongozi wa Chama chenyewe.,kuanzia Mwenyekiti BATROBAS, ROJAS,na VIJANA wakiongozwa na DAVID VOLAA, HURUMA pamoja na ELIAS...!
 
Siamini macho yangu embu CDM tufafanulieni. Mod kama mleta mada kasema uongo mpe BAN. Haiwezekani eti kila chuo kimchague mushi au minja. Ila cha msingi kama ni chaguzi za kidemokrasia sijui kwa nini jamaa analalamika. Kuna nyanja nyingine ukifika unakimbia mwenyewe na kuwaachia wenye ubavu... hata baba wa taifa hili aliwahi kusema hivyo. Ila kwa uongozi, wachaga noma hawawezi, ila kwa kutafuta pesa hamtawakamata kabisa. Kwa sababu ardhi yao ni finyu sasa waje na sera ya viwanda kule mlimani kama wajapani walivyofanya na wakafanikiwa.
 
Hii chorus ilianza kuimbwa tangu 2005 wakati chadema ina wabunge 5 tu wa kuchaguliwa, leo chama kina wabunge kila kona, hii ina maana moja kwamba watu wengi wameona hii ni hoja muflisi, wabaguzi wenzako walishaacha kuimba wimbo huu maana haujawatoa, umefeli..siku hizi wanaimba kuhusu dini ila nao sijui kama wataendelea nao, maana nao umeshaanza kuwatokea puani, sitokei kaskazini ya tanzania but frankly naikubali chadema namna inavyokwenda..

Na kwa upande wangu na hili ni binafsi kama wachaga watakuwa mahili kusimamia hoja, kama watakuwa wabunifu katika uendeshaji wa chama, kama wataonyesha uchungu na uwezo wa kusimamia maslahi ya nchi yangu, sina tatizo hata kama wote watakuwa wao tu! frankly, mimi na wife wangu we dont give a shit on this nonsence!
 
Mtuma posti hii nataka kukuambia upumbavu ni dhambi na dhambi hii itakutafuna ww na magamba wote VUA GAMBA VAA GWANDA
 
Huyo ametumwa na magamba hana lolote. Tumeshawazoea nyinyi hamna jipya. Mtaji umewaishia wilaya zote za wafugaji wamegutuka walikuwa wakifikiri kuwa siasa ni mila sasa wameweza kutenganisha. Magamba mtakwisha kushney.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom