Recent content by Muhomoli

  1. M

    Miaka mitatu sina kazi

    Ni PM CV na CERTIFICATES zako nkuangalizie hapa ofisini kwetu kiwanda cha biskut na peremende Buzuruga Nyakato Mwanza
  2. M

    UDSM UDSM UDSM wanataka nini UDSM

    Anachokifanya maboko kimenipa jibu la kwa nini wasomi nchini hawaheshimiki sasa naona kumbe serikali haikukosea kuwalipa vizuri wabunge kuliko walimu wa vyuo vikuu
  3. M

    UDSM UDSM UDSM wanataka nini UDSM

    Anhaaa! Nadhani wanataka kufanya majario ya Student By-Law 2011, sipati picha hiyo 10/10 itakuwa vp na wanaharaki wanafki wa mlimani wenye kupigania maslahi yao binafsi na ya Mukandala
  4. M

    Mshahara wa Assistant Lecturer..

    Ni halali yao wakihoji iweje mbunge alipwe vizuri kuliko wao
  5. M

    My friend is looking for a Partner, and maybe a husband kama mambo yataenda poa

    Utakuwa ni wewe mwenyewe unatafuta halafu unajifanya rafki yako kwani yeye haiui Jf au kwa kuwa umeskia huku kwa ma-greant thinker ma mdogo bhana haya utampata mzee Rwaitama maana na yeye anatafuta mwenzi
  6. M

    Hivi hapa tuna raisi kweli?

    Mbona jamaa bongo fleva ki tambo THT wamemsign ni msanii wao huyo
  7. M

    Maumbile na tabia ya mtu

    Inawezekana ila kwa % ndogo sana kuna theory inaeleza kuwa watu wenye macho makubwa viganja vikubwa vichwa vikubwa wanaweza kuwa wahalifu
  8. M

    Kwani ni lazima wanawake wadeke?

    Tupo pamoja mkuu hata aunt yangu japo mtu mzima lakini ndo zake izo cjui tatizo ugoli kipa au!!?
Back
Top Bottom