Recent content by Muggssy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Karatu shwari Chadema imefunika!

    Policcm hawakuleta madhara ya kitu kizito chenye ncha kali kweli??????
  2. M

    JamiiForums Tanzania Usia wangu kwa Zitto na washirika wake

    hama hakika ZZK Hafai ata kua mwenyekiti wa makanyaboa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Wakuu mbona mimi nitaka ku paly hio audio inaniambia file not found nifanyeje wakuu??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, Habibu Mchange hana sifa za Kukunadi

    weel said yule Zitto ni wakala wa chama cha mabwepande
  5. M

    JamiiForums Tanzania Economical/Business/Investments activities za Lowassa ni zipi?

    Kila anaejaribu kumusafisha EL ajue anamasafisha kwa maji taka. EL kachafuka munoooooo to the extent that anaejaribu kumsafisha anazidi kumchafua bora wakae kimya kidogo atmosphere inaweza kutulia huwezi kusafisha mtu kwa maji taka ukategemea atasafishika
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haitakufa kwa uroho wa kugombea uongozi...

    kweli ajipange upya ili aendelee kula posho za Nape
  7. M

    JamiiForums Tanzania Full Text: Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Agosti 2012

    mimi napita tuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya Nd.Ally aliye uwawa na polisi kwa kupigwa risasi yaingia kwenye mvutano na Chadema

    We ni mpumbavu kweli sijawahi ona yani unatumika bila hata kujua??? Nape siku hizi kasitisha halipi tena acha ujinga kilaza wewe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dokta Slaa aitisha Press Conference Iringa!

    Tunangoja updates mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Polisi: Marehemu Ally Zona aligongwa na kitu kizito na sio Risasi

    Masaburi anatisha anastahili udaktari wa heshma aligundua principle muhimu tena hii nadhan ni natural principle. Nimeamini kuna watu wanafikir kwakutumia ................................
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Umemenena Mwali wangu aiseeeeeeeeeeeee big up
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wana Janmv

    wana Janmv naomba msaada namna ya kusikiliza radio kwenye net nime download na kuinstall radio rage lakini nashindwa kusikiliza local radios online chanels zinakuja lakini uki click play hamna kinacho endelea Naomba mwenye utalam huo anisadie Shukurani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    What goes around comes around huyu Zitto ndio Kinara wa kutumia wandishi wa habari uchwara kwa manufa yake na siasa zake za kubato wanajamnv kwa wale wanaomfuatilia sana zitto wanakumbuka vizuri lile sakata la kutumia waandishi wa habari wa mwananchi ili kudhofisha Chadema tena alikua anatoa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ajieleza mbele ya Sekretariat ya CHADEMA kwa masaa 3, kukutana na vyombo vya habari

    Tukubali tukatae zitto anatumika ku distabilise Chadema kumbuka wakati wa kampeini kule Arumeru watu wako kwenye battle field dakika za lalasalama nakumbuka zilikua zimebaki siku mbili tuu anaibuka na hoja ya kugombea uraisi ili ahamishe ajenda kuu ya kampeini thank God kwa busara ya Dr. Slaa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ajieleza mbele ya Sekretariat ya CHADEMA kwa masaa 3, kukutana na vyombo vya habari

    yameaanza kutimia maana Zitto ni ndumilakuwili. What goes around comes around
Back
Top Bottom