Red; Impact yao so far iko wapi na usomi wao kwa mwananchi wa kawaida pale Ibuti Gairo.....kuna machapisho wametoa ili japo wanafunzi wa vyuo wasome na kupanua fikra????
Well, ukinisoma vizuri nilisema ku impact yao kwa sasa
imeishia almost exclusively kwenye marafiki, na familia zao.
Ila ikiwa institutions za ndani ya nchi zitaunda branch nje
kuna uwezekano wa kupata benefit on an institutional level
Pollitical parties zimekua makini kuona hiyo opportunity
Ikiwa academic institutions zitaamua pia, benefits zitaonekana
Blue; Say it true JF is a product of diaspora.....members wa humu ni wa class gani, .........I mean the access is limited to you and me because tumeshiba na tushapulizia deodorants ndo tunabofya hapa.....think of threads za walimu, madaktari na sasa SSRA wat can be deduced as the direct impact of us typing and shifting the blame......while the status remains static????
the lack of direct positive impact cannot be blamed on the diaspora
Kama una blame members wa Jf for talking, not acting on the ground
that is another debate. Some would argue that talking is the 1st step
Mimi na wewe tupo nchini, what did we do to change the situation?
the fact remains that watu wengi nchini wanapokea maoni toka nje
wana uwezo ya kuchambua na kukubali au kukataa hayo maoni but
some of the internal debates are initiated by members of the diaspora
for a political party, kuna umuhimu wa ku-influence this from the source
Green; There you have brought the point home........ni vita ya madaraka nothing else.....wa nje wanataka gaps to get in na wa ndani wanataka support kutoka nje......game of chance no sustainability, no permanent mission than hopes and interests from both sides
Kwani siasa ni nini per essence? si ni vita vya madaraka?
iwe nje ya nchi au ndani ya nchi vyama vinataka madaraka.
speeches on human development and political freedoms
are nothing more than advertisements for an electorate.
wote wanataka madaraka. the thing is to give it to the ones
who effectively demonstrate the capacity and will to materialize what they promise.
Na hapa sio njama ya diaspora kuja kutawala nchini, they are fine where they are.
ni njama ya viama vya hapa nchini kujiongezea chances kwa kupitia diaspora.
seducing the diaspora and use them to influence the citizens back home. that's it!