Msaada wana Janmv

Muggssy

Member
Aug 20, 2011
70
11
wana Janmv naomba msaada namna ya kusikiliza radio kwenye net nime download na kuinstall radio rage lakini nashindwa kusikiliza local radios online chanels zinakuja lakini uki click play hamna kinacho endelea

Naomba mwenye utalam huo anisadie

Shukurani
 
Back
Top Bottom