Polisi: Marehemu Ally Zona aligongwa na kitu kizito na sio Risasi

niwazi kabisa vijana wa chadema ndo walio muua kijana ally muislam mwenzetu.hii ni mara ya pili kwa muislam kufa ktk maandamano ya cdm. Cdm imehusika iwaeleze wananchi
 
niwazi kabisa vijana wa chadema ndo walio muua kijana ally muislam mwenzetu.hii ni mara ya pili kwa muislam kufa ktk maandamano ya cdm. Cdm imehusika iwaeleze wananchi.
 
Masaburi anatisha anastahili udaktari wa heshma aligundua principle muhimu tena hii nadhan ni natural principle. Nimeamini kuna watu wanafikir kwakutumia ................................
 
Hakuna taarifa ya kujichunguza ukajishitaki, huo ni usanii wa milenia sasa
 
Kamanda wa polisi Morogoro ambaye kimsingi ni mmoja wa watuhumiwa wa mauji ya kijana Ally kule Morogoro, amekuja na taarifa kwa umma kuwa 'Uchunguzi uliofanywa na Madaktari kwa kushirikiana na polisi(watuhumiwa) umebaini kuwa kijana Ally alifariki baada ya kutokana na kuvuja damu nyingi baada ya kupigwa na 'flying object'.

Hivi tangu lini mtuhumiwa akafanya uchunguzi wa tuhuma? Je, kamanda anataka kusema kuwa risasi ni walking object?Kama polisi wameshafanya uchunguzi huo, tume nyingine ya nini wao kushiriki? Je, wana wasiwasi gani wakati waziri wao alishasema kuwa polisi walikuwa wanatimiza jukumu lao wakati huo wa mauaji na kujeruhi raia?Kama wanataka posho si lazima waunde tume kwa kitu ambacho tayari majibu walishatoa, jukumu lao ni kuua raia wanaoandamana kwa amani kinyume na maslahi ya chama tawala.
Inauma sana kusikia habari kama hizo na inatia hamasa ya kuung'oa utawala wowote dhalimu.Kwa maoni yangu, CCM inastahili kutendwa kama chama cha Baath cha marehemu Saddam Hussein.
 
Mlitarajia ripoti gani ktoka Polisiccm? ni ripoti ngapi zenye ushahidi wa wazi kwa umma ambazo polisi hawa wameleta kwa usahihi?
 
Nimeona katika Channel Ten polisi wametoa ripoti kwamba marehemu Ally aliyeuawa katika maandamano ya Chadema Morogoro amefariki kutokana na kugongwa na kitu kizito sio risasi, hiyo ni baada ya uchunguzi wa madaktari

Kova type!uchunguzi umekuwa so fast na Result bila kupepesa mijicho!Shigolile utamreplace kova akiretire
 
kuna haja ya kuwa na chombo huru cha kukagua na kuchunguza matumizi ya Risasi kila mwezi kwa upande wa Jeshi la Polisi.
 
quote_icon.png
By Mgongo wa paka
niwazi kabisa vijana wa chadema ndo walio muua kijana ally muislam mwenzetu.hii ni mara ya pili kwa muislam kufa ktk maandamano ya cdm. Cdm imehusika iwaeleze wananchi.

Mgongo wa paka
.... Tuhuma zisizo na haki wala mashiko hata kidogo.
 
Jana kuna viongozi wawili walijitokeza kwenye media, mmoja akadai kwamba Ally Zona hakuuwawa na Polisi na mwingine akadai aingii akilini Polisi kutumia risasi za moto kuua raia ambaye alikua hausiki na maandamano.

My take: wao uchunguzi waliufanya saa ngapi!
 
Hapana shaka hijli jopo la madaktari liliongozwa na profesa marefu

Nimeona katika Channel Ten polisi wametoa ripoti kwamba marehemu Ally aliyeuawa katika maandamano ya Chadema Morogoro amefariki kutokana na kugongwa na kitu kizito sio risasi, hiyo ni baada ya uchunguzi wa madaktari
 
Damu zote zilee..maganda ya risasi! Mashuhuda wote walee.. Kupasuka kichwa kwa nyuma!
Aisee,hawa watu hawa! Hivi wanajua watz wa saivi ni wale wa kuangalia 'senema kwenye mapazia,jumapili e?
 
Back
Top Bottom