Mambo Kama Haya yatakosa wachangiaji ila ujinga ujinga ndo unapata wachangiaji by the way nina mawazo mawili ya hela nyingi sana ambae atakuwa interested aje tuyajenge.
Kwa wale ambao wanaishi na wenza wao ambao wapo katika ajira au biashara na wana kipato kizuri watakuja kushudia namna ambavyo wenza wao wana mchango kiasi gani katika maendeleo ya familia.
Kwa asilimia kubwa mwanamke akiwa na kipato huwa anakuwa na mchango mdogo katika familia hii hupelekea...
Kwema wakubwa,
Naomba niende moja kwa moja kwenye swali. Nina wazo naona ni potential ambalo litasaidia watu wa hali ya chini vijijini nataka nikasajili Ngo kwa level ya kitaifa then nitekeleze wazo langu lakini changamoto ya hili wazo linahitaji rasimali fedha ili litekeleze, je ni wapi naweza...
Jiamini bro me wa kwangu namkojolesha na vidole tu nikija kuingiza namalizia shughuli kabisa. Kama inasimama vizuri hilo ndo jambo la msingi na ushukuru kwa hilo, wapo wenye mikuyenge wanaisindikizia na vidole iingie.
Ubarikiwe sana Kaka kwa uzi wenye tija sana ya kutufungua sisi wanadamu tunaopitia magumu ya kila aina kwenye huu ulimwengu ambao ukweli unapigwa sana vita.
Kufanya mijadala ya aina hii inahitaji uweke pembeni hizo imani za dini ulizo kalilishwa ili iweze kuingiza kitu kipya bila ya kukubali...
Umefanya uamuzi wa busara Kaka. Ningependa tu normalize divorce iwe kitu cha kawaida jamii ya Afrika bado wanamtazamo hasi sana mtu akitoka kwenye ndoa au mahusiano wanakwambia uvumilie shubamit vingine havivumiliki. Kuna yule mwigizaji wa mbele alisema the worst prison is the home without...
Uzi mzuri sana ku motivate wanaoanza mazoezi na ambao wanasusa susa kwenye mazoezi.
Kweli mazoezi yanataka commitment ya kweli nq iwe sehemu ya maisha yako. Me nilikuwa Bonge nikaanza kwenda gym bila kufata ushauri nikawa nanyanyua mavyuma nanogewa si unajua ile mambo za vijana, baada ya mwezi...
Uliyoyasema yote ni kweli shukuru Mungu umesanuka mapema. Me ndomana sikuizi najinywea zangu ndani na wife. Nina li stock langu la Konyagi nimenunua duka la jumla wife nimemchukulia flying fish tukimaliza tujapiga game ya kibabe tunalala. Me nliacha pombe baada ya kukubuu kwenye umalaya nikaona...
Me naona legacy kubwa ya Magufuli alitufanya tujue rangi halisi za wapinzani.
Kabla ya Magufuli baadhi tulikuwa tuna amini nchi hii ina upinzani wa kweli though sio kama nchi nyingine za Africa zenye wapinzani haswa, lakini atleast imani na vyama vya pinzani ilikuwepo.
Kuanzia 2015 hadi sasa...
Elimu, umasikini na maradhi sio tena excuse ya kudhoofisha maendeleo yetu kwa level ya mtu mmoja mmoja hadi kitaifa ila Nyege, Uvivu, roho mbaya na unafiki ndo maadui wa sasa wa taifa hili.
Ngoja niongee kwa mifano.
Yule mwana dada wa Insta Mange alikuja na business idea nzuri sana ya Mange...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.