Baada ya miaka 60 ya uhuru maadui wa Tanzania ni nyege,uvivu, roho mbaya na unafiki

Mufassa

Member
Mar 10, 2022
18
41
Elimu, umasikini na maradhi sio tena excuse ya kudhoofisha maendeleo yetu kwa level ya mtu mmoja mmoja hadi kitaifa ila Nyege, Uvivu, roho mbaya na unafiki ndo maadui wa sasa wa taifa hili.

Ngoja niongee kwa mifano.

Yule mwana dada wa Insta Mange alikuja na business idea nzuri sana ya Mange kimambi app, vile watanzania tunapenda kufatilia maisha ya wenzetu hii ilikuwa biashara nzuri sana isitoshe mwanzilishi wa biashara hii tayari alikuwa amejijengea jina kwa jamii yake kwa uthubutu wake na kujiamini. Since mange kimambi ni diaspora wa muda mrefu na amesihi dunia ya kwanza nilitegemea kuona akiifanya hii biashara akiwa very serious kutokana na vile alikuwa akijinasibu kwenye mitandao ya kijamii tutamuona Forbes kama mwana mama aliyefanikiwa.

In less than a year yeye mwenyewe kaibomoa bishara yake kwa kuendekeza roho mbaya roho ya korosho hakuna anayemuamini tena kama Kigogo wa Twitter. App imepoteza u relevance hakuna mtu anayejiheshimu anataka kuonekana yupo na hio app.

Hivi Diaspora kama Mange mwenye exposure ya kuishi dunia ya kwanza miaka mengi ambao tuna amini wame starabika kuliko sisi wa buza kanisani alikuwa anawaza nini kwenda kumchukua video mtu anayepigania uhai wake. Hakuwaza kuhusu business reputation ya biashara yake inayoanza ? Nimekuwa disappointed sana nilitegemea makubwa kwa diaspora huyu kutokana na lifestyle yake ya ku criticise kila mtu, nilijua hawezi fanya kitu cha kijinga kama hiki.

Kuna mtu niliona amesema tayari Mange kimambi App ilikuwa na watumiaji zaidi ya laki moja kwa buku buku kwa mwezi ni shilling ngapi ? Sioni tofauti yake na viongozi aliokuwa akiwasema. Tayari wafanyakazi wameeanza kumkimbia, tayari ameanza kugombana na system, tayari celebrity ambao ndo wangeipa kick kila siku wanakwaruzana. Mtu aliyezoea kudanga ni wa kudanga tu.
 
Mufassa heading imeachana mbali kabisa na maudhui
Huko unakoita dunia ya kwanza nako ni ushenzini kuliko hata Buza Kwa Mpalange..nako kuna hizo tabia zote ulizotaja hapo
Kuishi ulaya muda mrefu hakumaanishi mtu anaweza kubadilika tabia... Makuzi hutengeneza tabia ya mtu ukubwani
 
Back
Top Bottom