Recent content by mudyton

  1. mudyton

    Kwanini watu wenye asili ya Asia wanafanikiwa kibiashara zaidi na siyo sisi Watanzania?

    wanazungukwa na wenzao waliofanikiwa, wanawatu wa kuwaelekeza nini cha kufanya na jinsi ya kufanya, wanaanzia chini huku wakijifunza na kuvumilia, wazuri kwenye saving ya pesa, wanasaidiana kwenye fursa na kuzitumia vizuri, wanakaa hapo hapo kwenye biashara zao.
  2. mudyton

    Huwa nahisi aibu na hatia baada ya kufanya ngono

    wewe una hofu ya Mungu, unaona umetenda dhambi, acha ngono tafuta mke uoe, utaenjoy. Hiyo huzuni na hofu itaondoka.
  3. mudyton

    Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

    Wanakukataa bila ya kukuomba hela? kweli hapo kuna tatizo!
  4. mudyton

    Kangi angalau alijaribu kuwadhibiti ST, huyu Simbachawene hamna kitu labda mengine!

    ila hayo magari ma VX na ma V8 ukiyapanda alafu ukaenda mwendo wa kama ist au vitz, inakua ni matumizi mabaya ya resource za taifa. Hayo raha yake ni mwendo ndio yananoga. Hata ungekua wewe unemuamlisha dereva akanyage!
  5. mudyton

    Utafanya nini endapo kazini wanakuhisi wewe ni TISS?

    Fanya soo lolote polisi waje kukuchukua hapo ofisini kwenu wamekupiga Tanganyika jeki, then ukae ndani kama wiki hivi. ukitoka kila mtu atajua kumbe huna lolote.
  6. mudyton

    Wakuu hivi rafiki akifa ndani kwako Sheria inasemaje kuhusu hilo?

    Rahisi kueleza ngumu kumeza, ni kuomba Mungu tu usiangukiwe na hilo jumba bovu ni shida!
  7. mudyton

    Ushauri: Kazi ya aibu malengo hayatimii

    Akiwa dereva wa bodaboda pesa hatuiona tena, wakina mama wana makusudi sana na madereva wa bodaboda, wakikaa nyuma wanajibinua, wanawagusisha vifua vyao madereva! Hayo mambo ya kusave yatakua ndio basi tena!
  8. mudyton

    UFC254: Khabib Nurmagomedov vs Justin Gaethje

    Huyo Gaethje nae ni mpiganaji mzuri sana, kwenye hilo pambano lolote linaweza kutokea.
  9. mudyton

    Wanafizikia mje mtuelezee hili kuhusu mapenzi

    hayo mambo ya moment of inertial, na yale mambo ya law of flotation, ukichanganya na issue za center of mass kwenye mambo ya equilibrium.
  10. mudyton

    Tanzania Academy of Sciences

    Good idea, tatizo uongozi wa hizo taasisi na pesa kutoka kwa serikali.
  11. mudyton

    Natafuta partner kwenye kilimo

    kilimo kwa Skype? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mudyton

    Hivi ule mradi wa urenium huko mto mkuju wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma uliishia wapi!?

    Bei ya uranium imeshuka kwenye soko hivyo jamaa wame freeze project mpaka bei itakapokuwa nzuri. Lakini mambo yote yapo sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mudyton

    Utajisikiaje pale mpenzi wako atapofanya hivi?

    Pale unapompa mtu nguo uliyokua unaipenda alafu unamkuta ameitimba haitamaniki, inaiangalia nguo yako kwa hisia fulani hivi. Zawadi ina raha pale unapompa mtu kitu anachokipenda alafu akakitunza. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mudyton

    TCRA fuatilieni tiGopesa, inakata mirija kwa mawakala

    Tumieni airtel money, kwani ni lazima kutumia tigo na voda. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mudyton

    Maisha yanaanza kubadilika baada ya kupata mtoto

    Na wewe kua busy na mambo mengine ya kujenga taifa mambo ya maendeleo kwani tumeletwa duniani kugegedana tu? Mwanamke kama mtoto akijua unamtamani ndio anafanya hivyo, ukimpotezea atakupa mwenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom