Recent content by muddy1345

  1. muddy1345

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Njia rahisi ni kuomba kubadili cheti cha kuzaliwa. Sasa hivi wamerahisisha inafanyika online (old to new) nafikiri ni 7,000 Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  2. muddy1345

    'Street codes' za kukusaidia uishi vizuri na watu mtaani kwako katika mji wowote Tanzania

    6. Chagua vijana watukukutu wawili au watatu wa mtaani kwako wafanye washikaji zako au machawa, ila nenda nao kwa tahadhari. Hapa nimekupata uzuri
  3. muddy1345

    TAMISEMI: Mwanafunzi Josephat John aliyevaa mabango hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB

    Hii kweli kbs. Ss unakuta mwanafunzi amejaza mambo ya sayansi wakati yeye amefaulu masomo ya arts, utamfanyaje? Na hata ukimtafute anakwabia jaza yeyote fresh tu.
  4. muddy1345

    Msaada: Mdogo wangu amepata III ya 25 lakini hajachaguliwa kwenda Chuo wala Advance

    Km unataka kwenda a level tafuta namba za huduma kwa wateja tamisemi uwapigie. Waambie kombination ya iliyo balance na shule unayohisi itakuwa unauwezo wa kwenda, watakusaidia. Sio 100% itategemea utakavyojieleza lkn
  5. muddy1345

    Msaada: Mdogo wangu amepata III ya 25 lakini hajachaguliwa kwenda Chuo wala Advance

    Kwa vyuo vya ufundi Dar Tech, Arusha Tech na Mbeya Tech analipiwa ada, chakula na malazi anaongeza zile gharama ambayo mwanafunzi anatakiwa alipe na nafikiri haizidi 300,000. Siku izi kozi nyingi hakuna certificate, ukipata admission tu unasoma diploma
  6. muddy1345

    TAMISEMI: Mwanafunzi Josephat John aliyevaa mabango hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB

    Hakuna media yeyote iliyofanya nae interview? Tumsikilize na yeye. Maana hapo hapaeleweki.
  7. muddy1345

    Gharama za umeme: Rais Samia muwajibishe Waziri Kalemani na uongozi wote wa TANESCO

    Namba ya wateja itaongezeka. Je, amejipangaje kuwapa umeme wa uhakika? Maana sa ivi umeme unakata kwa siku hata mara 10 coz ya upungufu wa wafanyakazi hivyo maintenance haifanyiki kwa wakati.
  8. muddy1345

    Ni bidhaa gani unazoweza kuziuza ×1,000 kwa siku moja?

    Labda kuuza juice mfano tendeshake, sotojo ambazo zinaanzia kati ya 1,000, 1,500 na 2,000. Lkn kwenye maeneo ya mkusanyiko wa watu wengi kama kibraten ( kariakoo usiku), vyuoni na sehemu zingine Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
  9. muddy1345

    Nimpe kiasi gani kama shukrani?

    Inategemea na hilo dili mlipeana vp. Wengine hawahitaji kitu, amekusaidia tu.
  10. muddy1345

    Movie gani ya kibongo hata uirudie mara nyingi huwezi ikinai.

    Hivi hii Masaa 24 inapatikana kweli. Nataka kuirudia
  11. muddy1345

    Chunya: Walimu wanne wanaswa wakibaka wanafunzi Ofisini

    Michezo hiyo ipo sana miaka ya sa ivi. Sio huko karibu nchi nzima
  12. muddy1345

    Ushauri: Nahitaji kuanzisha biashara ya sigara

    Sina uhakika km M4 kinatosha au hakitoshi kupewa uwakala. Km hakiwezekani, ongea na ambae amepewa uwakala mkubaliane wenyewe bila kampuni kuhusika
Back
Top Bottom