Nimpe kiasi gani kama shukrani?

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,438
2,000
Mm kuna mzee huku kijijin kwet nilimpa deal za kuchomelea gril za dirisha na milngo almost kama 1.2m

Baada ya kazi akaninunulia k+ vant ndogo fresh tu

Ila mpaka leo ananiuliza mbona simpelekeagi kazi tena?
Wewe unahisia alipata faida kiasi gani? Hili jambo liliwahi nitokea nilikuwa na workshop ya aluminum na pvc, client anakuja naleta nusu ya ela labda kazi milion 3 analipa mls 2 halafu anahisi milioni yote iliyobaki ni faida.
Ikitokea ukafunga zile dirisha pasipo kumaliza basi atakuzungusha mpaka ujute kwakuwa anaona unapata faida kubwa kumbe siyo kweli.
 

Mr Finest

Member
Aug 24, 2019
95
250
Kaka habari yako.
Mimi hapa nina hitaji mkopo wa milioni 2 unalipwa kwa miezi 4-6 , hii itanifanikisha dili la maisha yangu na pia kuna zawadi atayefanikisha Hilo.
Mimi ni mkazi wa mbezi , na muhitimu wa Diploma ya finance ifm .
Naomba ushirikiano wenu ndugu na kamaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom