Recent content by Mubishi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe mke wa pili

    Njoo uwe wangu mana nataka msomi awezi kunishauri biashara zangu ili ziweze kupanuka zaidi kwa kutumia elimu yako mimi nina mtaji wa kutosha lakini elimu yangu ndogo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kanusho: Vyeti feki vyafyeka polisi kwa mamia, ni habari ya Uongo

    Hongera Magufuli Mungu amlinde daima kwa kazi anayofanya watoto watu watapata kazi sasa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina uhusiano wa kimapenzi na mdogo wa shemeji yangu

    Hapo hakuna udg hata kidogo Ila shida ni kwa wazazi wenu wana sababu zao binfs mkiweza kukaza uzi haina shida na badae watawaelewa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nimemfuma na nguo za mwanamke mwingine

    Msamehe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye Vinyweleo

    Hongereni kwa mada ya kuliwaza baada ya kazi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinakuvutia kwa Mwanamke.??

    Mimi napenda mwanamke mweusi mwenye mzigo mkubwa wa wastani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tumshauri jamaa yangu huyu

    Bora aende tu labda kazi mke kamutafutia Ila anaogopa kumwambia jama direct Ila takcare mbeleni
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Angesema kama jamaa yake alie naye kama in bed ni mzigo kama yupo poa achana na mawazo hayo heshima ni pale tu mume hajakugusa hilo tatizo unalitafuta mwenyewe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taa ya engine inawaka

    Kacheki sensa magari ya cku hizi yanaendeshwa kwa sensa labda imeingiza tatizo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume, hivi kuweka dawa na piko kichwani ni ujanja au ushamba?

    Na mm pia neutral kwa sababu ni matakwa ya mtu mwenyewe anataka kuwa na muonekano gani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu hizi kuu, tusimlaumu Mh Rais kutokuhudhuria kuaga miili ya wanafunzi huko Arusha

    Hao wanao laumu ni kwa sababu zao binafs kiserikali rais kamtuma mtu wake na kazi yote imeendeshwa na serikali tatizo liko wapi sehemu panapo kuwa na rais msisimko unapungua sababu ya ulinz kuwa mkubwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

    Mchezo ukiandaliwa kwa utaramu Wa hali ya juu wote wanafaidi 'lakini kama ni kwa mmoja huyo ndio mwenye kufaid
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yaikumba gari, jamaa aifanyia maombi

    Arudi alikotoka haraka mana akiendelea inateleza
Back
Top Bottom