Wanaume, hivi kuweka dawa na piko kichwani ni ujanja au ushamba?

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
278,618
1,128,736
Wengi wanaotumia style kama ya huyu jamaa nilishawaona sana kwenye maharusi hasa bwana harusi na mpambe wake
18299216_820143018136711_9131573162511695872_n.jpg
 
Na mm pia neutral kwa sababu ni matakwa ya mtu mwenyewe anataka kuwa na muonekano gani
 
Huyu anashirikiana vinasaba na Naseeb a.k.a Diamond Platinum, kwa midomo hiyo na macho hayo sio bure.
 
Back
Top Bottom