Tumshauri jamaa yangu huyu

Tumshauri jamaa yangu huyu

Kukaa jobless na kumtegemea mwanamke hasa mtoto wa kiume ni uboya mkubwa sana
 
Bora aende tu labda kazi mke kamutafutia Ila anaogopa kumwambia jama direct Ila takcare mbeleni
 
Mwanaume na wewe kweli wataka kunyenyua kende zako uende ukalelewe mambo ya aibu, endelea kukaza utoboe kwa juhudi zako ueshimiwe sisi wanawake tusimanga hatari tunapotoa.

F*ck you, kwa taarifa yako hata sie wanaume huwasimanga nyie mnapo2piga vizinga. miss trace
 
Yaani mpaka jambo hili limuumize kichwa na kumfanya aombe ushauri, huyo jamaa bado hajielewi.
Yaani akalelewe na mama mtoto wake? Ata ingekua ni mkewe bado kuna tatizo hapo...
Nna wasiwasi na uanaume wake
 
Tamaduni zetu haziruhusu mwanaume kulelewa na mwanamke unless dume suruali aliepata shuga mumy.

Ushauri aende akatafute fursa zingine akiwa na mama mtoto wake
 
Aendelee na mishe asiende kwa huyo mama mtoto hata akiingiza tsh100 ni ya kwake huko kwa mama mtoto itampa shida pesa ya mtu ni ya mtu to
 
Back
Top Bottom