annie baby
Member
- May 4, 2017
- 45
- 25
- Thread starter
- #21
Akat IPO used.na c newHehehe namwambia nimekununulia zawadi ila nilisahau kukupa
Akat IPO used.na c newHehehe namwambia nimekununulia zawadi ila nilisahau kukupa
Ninao basiii.Ushanionea cuzoo wangu[emoji4] [emoji4] [emoji4]Yes cuzoo wake mamdogo. Toa ushauri basi
Zawadi used mkuuHehehe namwambia nimekununulia zawadi ila nilisahau kukupa
Atakuwa JLW yule [emoji16][emoji16]Ninao basiii.Ushanionea cuzoo wangu[emoji4] [emoji4] [emoji4]
You buy data bundles every week but you are using the same toothbrush since 2015...My sister you should be arrested.Nmemfuma na Nguo ya mwanamke chumbani kwake.nimfanyaje.nmuache.nimtafutie mwenzake au.nmsamehe
Ohoo, kama used namkomalia kuwa ni yakeZawadi used mkuu
Hapo ninayo haki ya kukomaa kuwa ni yake amejisahaulisha kusudiAkat IPO used.na c new
Lakini pia zawadi za mtumba zipoZawadi used mkuu
Huyu cousin huyu[emoji15] [emoji15] kule hamiss kabisaaa[emoji134] [emoji134]Atakuwa JLW yule [emoji16][emoji16]
Na ww ushaanza ujinga kama was smart 09 cc mahondah
Hahahaha... huyo nimemtag wanafanana majina wax. Sina hizo mishe bwanaNa ww ushaanza ujinga kama was smart 09 cc mahondah
.mtam orNmemfuma na Nguo ya mwanamke chumbani kwake.nimfanyaje.nmuache.nimtafutie mwenzake au.nmsamehe
Kusamehe ni kushinda dada yangu Dunia ya sasa utawacha wangapi wanaume sisi ni walewale kikubwa kaa nae chini mwambie magonjwa mengi i hope mtakuwa vzr last jaribu kuangalia ikiwezekana kufanya uchunguz juu ya kwanin anachepuka inawezekana my be kuna mambo kidogo ambayo hayako sawa ambayo mkikaa mtapata suluhisho la kudumu! Note kuna mwanamke alikuwa akipata changamoto kidogo anavunja uhusiano hakujua kuwa tatizo ni yeye amekuja kukumbuka shuka kumeshakucha ni sawa na kujua bar mpya wakati umefirisikaNimemfuma na nguo ya mwanamke chumbani kwake nimfanyaje nimuache, nimtafutie mwenzake au nimsamehe?