Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,747
- 9,036
inawezekana hakuwepo ndan ya hiyo gari wakati mvua inaanza, maji yameikuta hapo hapo...,Binafsi ningekaa chini kwanza kutafakari ukuu wa Mungu wa kutoruhusu kujaribiwa kwa roho yangu ndani ya Maji , hilo gari ningeliwazia baadae