Wabunge wengi wa upinzani hasa cdm wamechaguliwa either coz raia wameichoka ccm au coz ya nguvu ya slaa. so ucjichoshe kuangalia cv zao utapata ugonjwa moyo!
hv bado kuna binadamu nchi hii bado anamuamini ******? huyu jamaa huwa anawatuma wenzie kusikilia upepo unavumaje! then anajitokeza na tabasamu lake la kinafiki kutafuta sifa
hivi unatambua kuwa sisi masikini wa Tanzania ndio wengi tunaohuduria hospitali za serikali?ndio....hatuwezi kwenda hospitali binafsi ambako dozi ya malaria ni 10,000 na zaidi! mgomo wa madaktari hauwathiri wenye uwezo wa kwenda india kutibiwa mafua! OK..let's say serikali imekubali kuwaongezea...
kama kosa la kuongea nje ya vikao vya chama ingekuwa linasababisha kufukuzwa uanachama basi watu kama shibuda na wabunge wengine wengi tu wa ccm wangekuwa wamefukuzwa na tungekuwa na chaguzi ndogo nyingi kweli!!!!!sometime uvumilivu unahitaji katika uongozi
zitto kama binadamu ana mapungufu yake sawa lakini kuna kundi la watu "maalum" waliowekwa kumuharibia! kuna hot issues ambazo zitto amezisimamia hao mnaowaamini wameshindwa.mfano hai ni issue ya posho,amesimamia alichoamini. kuna wengine wanasingiza ohh pesa zinawekwa moja kwa moja kwenye...
ccm mtajuuuuuuuuuta kumfahamu jk. huyu jamaa watu walidhani anakuja kuibeba ccm badala yake kaja kuizika!hv kweli watu ambao wamekataliwa na wananchi unawateua kwenda kumwakilisha nani?ok, u r z prezdent.......
kwanza koma kabisa wazururaji wewe na watusi wenzio ambao mmedandia nchi yetu na sasa mnataka kutumia wema wetu uliopitiliza kutaka kumiliki ardhi yetu. then kabla ya kuongea upuuzi wako kafanye research kupata details za umilikaji wa ardhi unaozungumziwa EAC na pia kwa mwekezaji. Tanzania tuna...
Inasikitisha kuona kuwa kuna binadamu wanafiki kama Wabunge wa nchi yangu Tanganyika. Na inasikitisha zaidi kuona wanafiki hawa wakitumia kisingizio cha umasikini wetu kama kigezo cha kuhalalisha uhaini wao, eti tukipita huko mitaani masikini hawa hawaishi kutuomba hela ya mboga!!!!. Mkafie...
wanachelea kukiri kuwa walifanya makosa kususia mijadala katika mifumo halali kama Bungeni. then kuna haya sijui makongamano,midahalo n.k kama kweli mawazo na michango waliyokuwa wakitoa wananchi waliyapeleka kunakohusika. jamani naomba kwa mwenye taarifa za uhakika anijuze kama hawa jamaa wa...
jamani wengine hapa tuna upeo mdogo wa kufikiri may be tunaomba msaada kwenye tuta tupate kuelewa..
kuna watu humu ndani wamekomaa kwa nini Rais awe na sauti ya mwisho kututengenezea katiba mara ooh katiba itatengenezwa sijui na akina nani! naomba niulize swali waungwana, hivi kwa mfano ndo...
ni mtu mwenye mtindio wa ubongo tu ndiye anaweza kuamini kuwa chama kilichopata wabunge less than 30 kati ya zaidi ya 300 wa kuchaguliwa ndo kilishinda nafasi ya urais! am sorry to say miongoni mwao ni wewe! JK is a failure president but he is still ur president na alishinda uchaguzi uliopita...
kama mlikuwa na mawazo mazuri kama haya kwa nini mlisusa kuyapeleka kunakohusika?sasa ona sheria imeshapita ndo mnakurupuka kuanza kutoa maoni. me napata shida sana kuelewa ni kwa nini wabunge wa cdm na nccr mageuzi waliamua kuwasaliti watanzania wenzao kwa kususa mjadala?may be things could be...
kinachonisikitisha mimi ni unafiki wa wanasiasa wetu ambao kwa makusudi wanawapotosha wananchi na kupoteza muda kujadili watu badala ya lengo kuu ambalo ni kupata katiba. sioni mantiki ya wabunge wa cdm na nccr mageuzi kutoka ndani ya bunge wakati wa mjadala wa sheria ya kusimamia uundwaji wa...
kama kuna Mtanzania anasema tumerudi nyuma compared na 1961 basi huyo si mzalendo au anasukumwa zaidi na utashi wa kisiasa. Utandawazi (ambao ni mfumo mpya wa ukoloni) ndo ulizozisukuma nchi nyingi maskini zikubali kubinafsisha mashirika yao kwa wenye pesa, na hasa baada ya kushindwa ujamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.