Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

Ingelikuwa ushindani wa ndani ya chama kimoja kinachomtafuta nominee for general election huo ubongo wako ningesema uko sahihi kaka, but for Batilda and others is another issue! Wananchi waliwahukumu kwa aibu huwezi kumlinganisha na Hillary aliyepigwa chini kwenye presidential nomination, not in general election! Pia jiulize kwanini Batilda hakupangiwa mbali? Kapelekwa Kenya ili awe karibu na Muungwana!

Nawasiwasi na wewe inawezekana kuna kitu mnagombania kati yako na Batlida...lol
 
Iv na mi ningepigwa chini ubunge kumbe ningekula shavu ka Marmo. Daaah ushwaiba nchi hiii balaaa. Sawa baba Ridhi kwa kendeleleza ushwaiba. Hongera kilaza Marmo. Wasalimie China cjui au Ubelgiji cjui!
Kwa CCM huwa hakuna makapi, pamba ikichambuliwa mbegu zinakamuliwa mafuta mashudu yanakuwa chakula cha ng'ombe, ng'ombe akinya mavi yanakuwa mbolea and recycle goes on...
 
Kwa CCM huwa hakuna makapi, pamba ikichambuliwa mbegu zinakamuliwa mafuta mashudu yanakuwa chakula cha ng'ombe, ng'ombe akinya mavi yanakuwa mbolea and recycle goes on...
Hata Slaa alikuwa makapi ya CCM..just to remind you
 
kwa hao wengine tujadili ila kwa batilda Mmm kitu cha mzee hicho!!hivyo kwa sasa safari zitahamia kenya baada ya nyie wenyewe kupiga kelele khs safari za marekani subirini kidogo•
 
ccm mtajuuuuuuuuuta kumfahamu jk. huyu jamaa watu walidhani anakuja kuibeba ccm badala yake kaja kuizika!hv kweli watu ambao wamekataliwa na wananchi unawateua kwenda kumwakilisha nani?ok, u r z prezdent.......
 
Back
Top Bottom