Recent content by mtupeace

  1. mtupeace

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ata kwa television bado ni shida akuna taarifa kamili
  2. mtupeace

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mbona halafu kupata update za huu mgogoro ni tatizo.. shida ipo wapi wakuu
  3. mtupeace

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Na watu kwel wapo serious [emoji23][emoji23][emoji23]
  4. mtupeace

    Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

    Mwenye thread ana mahaba niue na Eminem TU ila kiukweli eminem hawez mfkia tupac Wala b.i.g notorious [emoji134]
  5. mtupeace

    Kwanini Kanda ya Ziwa hakuna Uwanja wa ndege wa Kimataifa?

    [emoji23][emoji23][emoji1787]
  6. mtupeace

    Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania

    Mimi nachoshangaa kuna vyombo vya habari vya kimataifa vinasema huyu n mtanzania tena muafrika hii imekaaje jamani.
  7. mtupeace

    Mbuzi wa mitaani Dar es salaam mjini

    Mitaa ya yombo kule wanalala jalalani ukija kiwalani hua Wana wenyewe lakini hawaibiki [emoji23] nilishuudia mtu alibeba mbuzi mgongoni na hakutoka mpaka mwenyewe mbuzi akaja kumnasua dah Yan alinasa kabisa mgongoni.
  8. mtupeace

    Hello wanachama

    Naijua hero asantee
  9. mtupeace

    Hello wanachama

    Asante Sana nimetimiza nilichokua nakiwaza
  10. mtupeace

    Hello wanachama

    Maji ya pangani yanatosha mkuu.
  11. mtupeace

    Hello wanachama

    I knew u early thank broo am feel proud Sana nimesoma Sana thread zako
  12. mtupeace

    Hello wanachama

    Mimi ni mgeni humu kwa miaka mingi nimekua nikiifuatilia hii forum mpaka imenivutia kujiunga na mimi naombeni ushirikiano wenu wakuu.
Back
Top Bottom