Karibu sana JF.. Home of great thinkers..!Mimi ni mgeni humu kwa miaka mingi nimekua nikiifuatilia hii forum mpaka imenivutia kujiunga na mimi naombeni ushirikiano wenu wakuu.
Karibu mkuu. Unatumia kinywaji gani? Ila pombe hairuhusiwi.Mimi ni mgeni humu kwa miaka mingi nimekua nikiifuatilia hii forum mpaka imenivutia kujiunga na mimi naombeni ushirikiano wenu wakuu.
Karibu sanaI knew u early thank broo am feel proud Sana nimesoma Sana thread zako