Kwanini Kanda ya Ziwa hakuna Uwanja wa ndege wa Kimataifa?

Ikiwa ni Kanda kubwa kwa uchumi na idadi ya watu. Kwa takwimu za juzi katika mikoa kumi inayozalisha Pato kubwa la taifa. Kanda ya Ziwa ndiyo imetoa mikoa mingi zaidi.

Imetoa mikoa mitatu mkoa wa Mwanza, Geita na Shinyanga. Hii hufanya 3\10 ni kama asilia 33 ya pato la taifa hili hutoka Kanda ya ziwa.

Inakuaje Zanzibar, Kilimanjaro na Songwe Kuna viwanja vya ndege vya kimataifa lakini Mwanza hakuna. Dodoma unajengwa pale Msalato.

Mwanza ambako ni kitovu cha Kanda ya Ziwa kunasitahili kuwa na uwanja wa ndege wa Kimataifa.

Ni wakati Kanda ya Ziwa kuamka
Kwani ule wa chattle upo wapi? Au una hadhi ya kijiji?
 
Kuna uwanja wa ndege mkubwa chato . Chato ni kanda ya ziwa
Huo uwanja wa chato unalingana na wa kilimamjaro au Dar es international ?
Au ni mimba inakusumbua uliyopewa na wanaume wa chato?
Muwe mnachangia vitu vyenye maana na sio hisia zenu za kichawi.
 
Anazungumzia chuo kikuu cha serkali!
Kwa nin isiwe huko ruvuma au lindi? Ubinafsi tu umewajaa! Mna mambo ya kikuda sana! Msitegemee tena kupata madaraka mengine! Miaka 6 ya yule bwana kama hamkuitumia vzr basi tena! Ngoja tujenge zinjibari na ruangwa maana napo ni tiziii pia
 
Huo uwanja wa chato unalingana na wa kilimamjaro au Dar es international ?
Au ni mimba inakusumbua uliyopewa na wanaume wa chato?
Muwe mnachangia vitu vyenye maana na sio hisia zenu za kichawi.
Hata iweje Dar es salaam haiwezekani kufanana na Mwanza. Dar es salaam ni centre of business in East Africa. Pia Kilimanjaro + Arusha ni Geneva of Africa.Hata viwanja vya ndege vinatofautiana ukubwa kulingana na wasafiri na nahitaji. Ndio maana flyover zimejengwa Dar sio Mwanza. Usifirie uwanja uliopo Dar es salaam ulingana na Mwanza that shall never happen labda kama unasumbuliwa na mtindio wa Ubongo. Usawa huwezi kuwepo hata iweje
 
Ikiwa ni Kanda kubwa kwa uchumi na idadi ya watu. Kwa takwimu za juzi katika mikoa kumi inayozalisha Pato kubwa la taifa. Kanda ya Ziwa ndiyo imetoa mikoa mingi zaidi.

Imetoa mikoa mitatu mkoa wa Mwanza, Geita na Shinyanga. Hii hufanya 3\10 ni kama asilia 33 ya pato la taifa hili hutoka Kanda ya ziwa.

Inakuaje Zanzibar, Kilimanjaro na Songwe Kuna viwanja vya ndege vya kimataifa lakini Mwanza hakuna. Dodoma unajengwa pale Msalato.

Mwanza ambako ni kitovu cha Kanda ya Ziwa kunasitahili kuwa na uwanja wa ndege wa Kimataifa.

Ni wakati Kanda ya Ziwa kuamka
Tatizo la wasukuma ukiwajengea uwanja wa kisasa, watahama mashambani kwenda kulima hapo hapo uwanjani ili wajisifie wanalima jirani na uwanja wa ndege na wageni wakija wanawapungia mikono toka angani.
 
Uwanja wa kimataifa halafu ndege za kibongo!
 
Hata iweje Dar es salaam haiwezekani kufanana na Mwanza. Dar es salaam ni centre of business in East Africa. Pia Kilimanjaro + Arusha ni Geneva of Africa.Hata viwanja vya ndege vinatofautiana ukubwa kulingana na wasafiri na nahitaji. Ndio maana flyover zimejengwa Dar sio Mwanza. Usifirie uwanja uliopo Dar es salaam ulingana na Mwanza that shall never happen labda kama unasumbuliwa na mtindio wa Ubongo. Usawa huwezi kuwepo hata iweje
Sawa lakimi ukumbuke Dar ipo iliv kwa sababu ya serkali na kwa upande wa mwanza kwa local customer inaongoza hakuna cha kilimanjaro!
 
Tatizo la wasukuma ukiwajengea uwanja wa kisasa, watahama mashambani kwenda kulima hapo hapo uwanjani ili wajisifie wanalima jirani na uwanja wa ndege na wageni wakija wanawapungia mikono toka angani.
Wasukuma watawatesa sana maana kila eneo wapo mkuu! Kwenye biashara wapo,kwenye madini ndo usiseme na kilimo ufugaji n.k
 
Ikiwa ni Kanda kubwa kwa uchumi na idadi ya watu. Kwa takwimu za juzi katika mikoa kumi inayozalisha Pato kubwa la taifa. Kanda ya Ziwa ndiyo imetoa mikoa mingi zaidi.

Imetoa mikoa mitatu mkoa wa Mwanza, Geita na Shinyanga. Hii hufanya 3\10 ni kama asilia 33 ya pato la taifa hili hutoka Kanda ya ziwa.

Inakuaje Zanzibar, Kilimanjaro na Songwe Kuna viwanja vya ndege vya kimataifa lakini Mwanza hakuna. Dodoma unajengwa pale Msalato.

Mwanza ambako ni kitovu cha Kanda ya Ziwa kunasitahili kuwa na uwanja wa ndege wa Kimataifa.

Ni wakati Kanda ya Ziwa kuamka
Vipo viwanja viwili vya kimataifa mkuu: Mwanza International Airport na Chato International Airport. Ni wakati sasa kwa kanda nyingine nazo kuwa na viwanja viwili vya kimataifa kama kanda ya ziwa, au vipi?
 
Sawa lakimi ukumbuke Dar ipo iliv kwa sababu ya serkali na kwa upande wa mwanza kwa local customer inaongoza hakuna cha kilimanjaro!
Ujue wasafiri ni wengi Kilimanjaro na tena ni wa kimataifa madege hutoka moja kwa moja Amsterdam, London, Dubai, Uturuki, China, etc na kutua pale. Tusubiri pakiwepo na uhitaji wa uwanja mkubwa zaidi Mwanza basi utajengwa.
 
Ikiwa ni Kanda kubwa kwa uchumi na idadi ya watu. Kwa takwimu za juzi katika mikoa kumi inayozalisha Pato kubwa la taifa. Kanda ya Ziwa ndiyo imetoa mikoa mingi zaidi.

Imetoa mikoa mitatu mkoa wa Mwanza, Geita na Shinyanga. Hii hufanya 3\10 ni kama asilia 33 ya pato la taifa hili hutoka Kanda ya ziwa.

Inakuaje Zanzibar, Kilimanjaro na Songwe Kuna viwanja vya ndege vya kimataifa lakini Mwanza hakuna. Dodoma unajengwa pale Msalato.

Mwanza ambako ni kitovu cha Kanda ya Ziwa kunasitahili kuwa na uwanja wa ndege wa Kimataifa.

Ni wakati Kanda ya Ziwa kuamka
Uwanja wa ndege wa kimataifa hujengwa sehemu kwa sababu kuna uhitaji wa international arrival na departures. Nchi hii tuna viwanja vitatu, Dar, Kilimajaro na Zanzibar. Nasikia na Dodoma watajenga, ila nafikiri hiki kitakua tu white elephant. Nafikiri Dodoma walihitaji tu kwa sasa kuendelea ku- upgrade kiwanja kilichopo till such time international airlines zitakapoanza safari za Dodoma ambayo nafikiri siyo karibuni.
Kanda ya ziwa mna uwanja wa Mwanza, ambao is good enough kwa shughuli zenu. Sidhani kama kwa sasa itakuwa visible project kuweka uwanja mwingine Mwanza
 
Back
Top Bottom